Trump yupo nyuma sana katika kura za maoniMimi naamini Trump anashinda japo sina sababu yoyote
Hakunaga kura za walio wachache. Nadhan hapo unazungumzia electoral colleges. Soma vizuri uelewe zinatumika vipi hizo kura.Kumbuka kuna kura za walio wachache.
Kipindi kile Cha 2016 pamoja na kwamba Clinton alipewa nafasi ya kushinda lakini kwenye kura za maoni walikuwa wanazidiana kidogo sana ukilinganisha na mwaka huu. Pia kipindi kile Trump alikuwa hajapimwa kwenye uongozi.Nikikumbuka hillary Clinton alivyokuwa anaonekana atamshinda Trump, na bado akafeli.
Nina uhakika hata huyu Biden atafeli pia
Trump anajua kucheza na wapiga kura muhimu.
Trump mjanja mjanja. Hata watu wanashangaa enzi zake za utoto after high school alipataje nafasi ivy league university wakati hakuwa na vigezo vya ivy league
Nikikumbuka hillary Clinton alivyokuwa anaonekana atamshinda Trump, na bado akafeli.
Nina uhakika hata huyu Biden atafeli pia
Trump anajua kucheza na wapiga kura muhimu.
Trump mjanja mjanja. Hata watu wanashangaa enzi zake za utoto after high school alipataje nafasi ivy league university wakati hakuwa na vigezo vya ivy league
Hii electoral college Wabongo wengi huwa inatupiga chenga kuielewaHakunaga kura za walio wachache. Nadhan hapo unazungumzia electoral colleges. Soma vizuri uelewe zinatumika vipi hizo kura.
Cha ajabu hizo electoral college Trump alizipinga sana 2016 na ndio zilimfanya ashinde. Ni Yesu Tu ndio anampigania Trump.Hakunaga kura za walio wachache. Nadhan hapo unazungumzia electoral colleges. Soma vizuri uelewe zinatumika vipi hizo kura.
Really? Unaongea kwa ‘kujua’ au ‘kusadiki’ tu?Hillary hakuwahi kuwa na lead zaidi ya asilimia 50..Trumpa waliokuja kumpa ushindi ni undecided voters..
Halafu hata Hillary alishinda popular votes
Alimzidi Trump kura milioni 2
Sasa Trump aliibukia majimbo ambayo Biden now anaongoza zaidi ya asilimia 7
Trump Hana pa kupita this time