Umekula maharage ya wapi?.Pamoja na uzee wake raisi Biden atagombea tena na uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
Katika kipindi cha miaka mitatu ya uraisi wake, Biden ameweza vizuri kumdhibiti raisi Putin kuwa tishio barani Europe.
Mpango wa Putin ulikuwa kuichukuwa Ukraine na kuwa sehemu ya Urusi. Vile vile huyo mpango ulikuwa ungetishia usalama wa Ulaya kwa jumps lakini Biden kamdhibiti na uchumi wa Russia umeyumba vibaya.
Kumbuka Urusi ni taifa la kidikteta kwa hiyo sio rahisi serikali ya Moscow kukiri hadharani kwamba uchumi umeyumba.
Vile vile Biden kapaisha Sana uchumi wa USA kipindi cha Obama na Trump, uchumi wa China ulikuwa tishio lakini Biden ameimarisha Sana Uchumi wa marekani kiasi kwamba uchumi wa China umeanza kudorora.
Pamoja na matatizo ya uzee wa raisi Biden, lakini kwa sasa hivi hakuna wakumshinda kwenye uchaguzi wa marekani. Donald Trump Hana uwezo wa kushindana na Biden.
Huyu mzeee wampe mitano tena. Amalizane na putin na migaidi ya hamas. Pale gaza yawe mashamba ya kufugia kitimoto aanze na iran
Biden hana tena nguvu sana kwa yaliyotokea middle east lakini kama opponent wake ataendelea kuwa Trump anaweza akashinda tena, trump ana scandals nying sanaPamoja na uzee wake raisi Biden atagombea tena na uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
Katika kipindi cha miaka mitatu ya uraisi wake, Biden ameweza vizuri kumdhibiti raisi Putin kuwa tishio barani Europe.
Mpango wa Putin ulikuwa kuichukuwa Ukraine na kuwa sehemu ya Urusi. Vile vile huyo mpango ulikuwa ungetishia usalama wa Ulaya kwa jumps lakini Biden kamdhibiti na uchumi wa Russia umeyumba vibaya.
Kumbuka Urusi ni taifa la kidikteta kwa hiyo sio rahisi serikali ya Moscow kukiri hadharani kwamba uchumi umeyumba.
Vile vile Biden kapaisha Sana uchumi wa USA kipindi cha Obama na Trump, uchumi wa China ulikuwa tishio lakini Biden ameimarisha Sana Uchumi wa marekani kiasi kwamba uchumi wa China umeanza kudorora.
Pamoja na matatizo ya uzee wa raisi Biden, lakini kwa sasa hivi hakuna wakumshinda kwenye uchaguzi wa marekani. Donald Trump Hana uwezo wa kushindana na Biden.
Kwa hiyo lengo kubwa la raisi wa Marekani ni kupambana na magaidi Putin, Hamas , Iran nk?Pamoja na uzee wake raisi Biden atagombea tena na uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
Katika kipindi cha miaka mitatu ya uraisi wake, Biden ameweza vizuri kumdhibiti raisi Putin kuwa tishio barani Europe.
Mpango wa Putin ulikuwa kuichukuwa Ukraine na kuwa sehemu ya Urusi. Vile vile huyo mpango ulikuwa ungetishia usalama wa Ulaya kwa jumps lakini Biden kamdhibiti na uchumi wa Russia umeyumba vibaya.
Kumbuka Urusi ni taifa la kidikteta kwa hiyo sio rahisi serikali ya Moscow kukiri hadharani kwamba uchumi umeyumba.
Vile vile Biden kapaisha Sana uchumi wa USA kipindi cha Obama na Trump, uchumi wa China ulikuwa tishio lakini Biden ameimarisha Sana Uchumi wa marekani kiasi kwamba uchumi wa China umeanza kudorora.
Pamoja na matatizo ya uzee wa raisi Biden, lakini kwa sasa hivi hakuna wakumshinda kwenye uchaguzi wa marekani. Donald Trump Hana uwezo wa kushindana na Biden.
Sio Vikindu kweli?Unaandika ukiwa New York au Zomba Tanzania ndugu
Jitahidi kuvuta bange nzuri(shada) na sio pushabo, siku nyingine utavaa chupi kichwani,,Pamoja na uzee wake Rais Biden atagombea tena na uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
Katika kipindi cha miaka mitatu ya uraisi wake, Biden ameweza vizuri kumdhibiti Rais Putin kuwa tishio barani Europe.
Mpango wa Putin ulikuwa kuichukuwa Ukraine na kuwa sehemu ya Urusi. Vile vile huyo mpango ulikuwa ungetishia usalama wa Ulaya kwa jumps lakini Biden kamdhibiti na uchumi wa Russia umeyumba vibaya.
Kumbuka Urusi ni taifa la kidikteta kwa hiyo sio rahisi serikali ya Moscow kukiri hadharani kwamba uchumi umeyumba.
Vile vile Biden kapaisha sana uchumi wa USA kipindi cha Obama na Trump, uchumi wa China ulikuwa tishio lakini Biden ameimarisha Sana Uchumi wa marekani kiasi kwamba uchumi wa China umeanza kudorora.
Pamoja na matatizo ya uzee wa Rais Biden, lakini kwa sasa hivi hakuna wakumshinda kwenye uchaguzi wa marekani. Donald Trump Hana uwezo wa kushindana na Biden.
Rubbish.. matapishi.Pamoja na uzee wake Rais Biden atagombea tena na uwezekano wa kushinda ni mkubwa.
Katika kipindi cha miaka mitatu ya uraisi wake, Biden ameweza vizuri kumdhibiti Rais Putin kuwa tishio barani Europe.
Mpango wa Putin ulikuwa kuichukuwa Ukraine na kuwa sehemu ya Urusi. Vile vile huyo mpango ulikuwa ungetishia usalama wa Ulaya kwa jumps lakini Biden kamdhibiti na uchumi wa Russia umeyumba vibaya.
Kumbuka Urusi ni taifa la kidikteta kwa hiyo sio rahisi serikali ya Moscow kukiri hadharani kwamba uchumi umeyumba.
Vile vile Biden kapaisha sana uchumi wa USA kipindi cha Obama na Trump, uchumi wa China ulikuwa tishio lakini Biden ameimarisha Sana Uchumi wa marekani kiasi kwamba uchumi wa China umeanza kudorora.
Pamoja na matatizo ya uzee wa Rais Biden, lakini kwa sasa hivi hakuna wakumshinda kwenye uchaguzi wa marekani. Donald Trump Hana uwezo wa kushindana na Biden.
kwamba wamarekan wanaomuona ni wajinga sana ila ww ndo mjanja unaeongozwa na ccmu?Kumbe hata marekani wajinga wapo sasa huyo kibabu ambaye anapoteza kumbukumbu kila dakika kweli bado wanamchagua awaongoze?