Biblia zadaiwa kuchomwa moto Dar;Waliohusika watiwa mbaroni

Status
Not open for further replies.
Hawa sijui hata wanawatafutia nini wakristu.Hivi ndoa zenye mchanganyiko wa waislamu na wakristo zinaishije katika nyakati kama hizi,maana naona hakuna maelewano!
 
Hivi huwa najiuliza mbona yale ma jamaat/mahekalu ya wahindu na masingasinga na vitabu vyao hawachomi!? Wale si wanaabudu mpaka n'gombe!. Au kuna kingine wanachokitafuta kwa wa kristo?
 
Hizi habari kamwe sipendagi niisikie kabisa ndani ya masikio yangu lakini inabidi tu! Ila hakika Imani niliyonayo bila shaka huyu MUNGU tunayemwani na kumtukuza atawaadhibu kwa kifupi kabisa hawa wanaowatuma hawa watoto waharibu mahala watu wanaabudia! Tuwe wapole na matunda yataonekana hakika!
 
Mkuu binafsi sijaona kosa la mleta mada,kama lipo tueleweshane ili tukemee pamoja.... labda mhimu aeleze chanzo cha habari yake.
 
Hivi huwa najiuliza mbona yale ma jamaat/mahekalu ya wahindu na masingasinga na vitabu vyao hawachomi!? Wale si wanaabudu mpaka n'gombe!. Au kuna kingine wanachokitafuta kwa wa kristo?
jiulize hili pia kichwani mwako kwanini wale waislam wa dhehebu la sun juzi kule pkistan walitega bomu liwauwe waislamu wa dhehebu la kishia waliokuwa kwenye maandamano iliyosababisha watoto wengi kufariki,kuvunja amani.umwagaji damu,uharibifu.basi
 
ukifuatilia matukio yanavyoendelea, hili swala litakuwa na ukweli mkubwa ndani yake....

{natoka nje ya mada.....na hata ukihudhuria maoni ya katiba....kuna kitu fulani cha namna hii mtu unakigundua}


 
Hao wana uhakika kuwa wamepata ajira, ila ajira yenyewe ni "kushindana na Muumba"...shauri yao.
 
Point of Correction ni Shajara na sio Biblia zilizo pigwa moto!
ingawa ata ivyo hao madogo wakihojiwa vya kutosha watasema nani kawatuma!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…