wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Ukiangalia app karibuni zote kama instagrum fb twiter you tube snap chat whatsap na hata jf au app yoyote ya ku downglod play store huwezi tumia bila kuwasha data.
Lakini app ya biblia ikishaipakua play store unaweza tumia bila hata kuwasha data yaani hata kama huna mb unaingia bila shida .je hii app ya biblia inatumia internet gani kwenye simu?au mungu ameshatulipia bando bila sisi kujua.