Bibie (kioo cha jamii) aanika undani wa nyeti za x boyfriend


Superstriker Emmanuel Okwi vs mtoto wa mzee Mwalubadu.
Dedication; Staki Demu by Kibla
 
Inaniuma Sana - Kibra Sir Nature

Sitaki Demu - Kibra Sir Nature Mzee Wa Ugali.
 

Wewe mtoto una kipaji cha uandishi. Kama utakuwa na itaji la kazi ya aina hiyo nina hakika Shigongo atakupa kazi bila ata intavyu. Hii post ni intavyu tosha kabisa. Du...you are very good! Hongera sana.

Ehee mwaya, hebu nirushie na kafollow up kidogo. Huyu bwana mwenye govinda kazipokeaje hizi taarifa za kutangazwa nyeti zake zinazogombewa na hawa mabinti wawili... nasubiri ivo?!
 
Hahahaaaa! Sio yeye bana! Mi thimooooooo! We unavomuona unadhani kweli? Au propaganda za watani wa jadi. Basi kuondo ubishi ATOE HADHARANI! LOL!

Kwani miye nimetaja jina lara 1..........................sema duh! hawa macelebriti wetu noumer
 
Last edited by a moderator:

yupo KIMYA sana, maybe anatafuta Dr. AMALIZIE hilo tatizo ili AKIJA KUTOA ionekane ni uzushi tu. KLABU NZIMA WAMENYWEA, chezea kutaka kumuaibisha NOTHING BT COMFIDENCE?
 
Ndio wamewahi..kwani vipi? Kuna movie moja wameigiza huku Dumelo akiwa mdogo wa Ramsey wakiwa wanamgombania Omotola. It is a good movie...nimesahau jina. Nzuri saaaaaana.

Chinekee nadhani ni kama Ooh My God (OMG) au what's this?; kwa jinsi nionavyo wenyewe wakiitumia.

chineeke maana yake nini?
hivi Dumelo na Omotola wamewahi igiza movies?
 
Kwenye uandishi tu Lara 1 Nimekupenda bure...wewe ni writer of the year....kwa vigezo vya NK lakini. Lol.

Unajua kweli kuiremba story mpaka mtu unajikuta unataka uendelee kusoma uone mwisho wake...no matter how ndefu it is.
 
duuh kweli lara una post graduate ya umbea maana post yako imekaa kiumbea umbea.
Ila mimi naona huyo dada a.k.a unstoppable anavyojiita ndiye kajidhalilisha. Kwanza kaliwa na anayemwita ana govinda, pili yeye ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kujisifia kuwa natoka na hicho kiserengeti boy, tatu kakanwa na hicho kiserengeti boy hadharani, nne kaumbuka vibaya kabisa.
Tano anahahaha kwa aibu hadi nahisika loose control.
Sita...... Dah mjini kuna mambo itabidi nirudi mkoani
 
Kwenye uandishi tu Lara 1 Nimekupenda bure...wewe ni writer of the year....kwa vigezo vya NK lakini. Lol.

Unajua kweli kuiremba story mpaka mtu unajikuta unataka uendelee kusoma uone mwisho wake...no matter how ndefu it is.

Mi ndo ninapomkubaligi lara 1. hii stori sio mpya ila alivoiweka unatamani hata kurudi tena kuisoma...mara mashujaa band...
 
Last edited by a moderator:


:"ametuudhi mashabiki wake kumkana mtoto wake mwenyewe"
 
lara 1 kweli wewe ni satul khabar!

Duh! Umetishaaa
 
Last edited by a moderator:
Kama naona UWANJA WA TAIFA watani wa jadi wakipambana, SEREBGETI BOY akifunga goli, CCM lazima washangilie GOVINDA! GOVINDA! GOVINDA! GOVINDA! Dr. YUKOWAPI!!!! SIPATI PICHA!!!!
 
Nimeufurahia sana udaku huu ulivyoutoa, itabidi niitafute hiyo blog ya bibie

Nilikuwa maeneo ya huko Uganda mwaka jana, na kulitokea tafrani hoteli tuliyokuwa tunapata mlo wa mchana, vijana walikuja na kumbeba juu mzee mmoja mwanasiasa (na mbunge ) wakiambatana na watoto wake na mkewe akiwa kwa mbali

Mzee alibebwa juuujuu na kupelekwa kusikojulikana,

Tulipowauliza wenyeji wetu kulikoni mzee kubebwa namna hii mbele ya kadamnasi (huku mpiga picha akilitendea haki tukio lile )

Ndio tukaelezwa Kwa taratibu za kabila lao, ni lazima wanaume watahiriwe, ila wakijulikana hawajatahiriwa na hata wakifika uzee wataviziwa na kukamatwa na kutahiriwa, iwapo watakuwa wamefariki kabla ya kutahiriwa, maiti zao husimamishwa kisha hutembezewa kisu na wanaachiwa waanguke, then ndio mwili unawekwa kwenye jeneza na maziko yanaendelea...

Ama kwa hakika tulishangaa sana na wao wakasema ukiacha hilo kabila, wengine wote hawatahiriwi unless mtu anataka mwenyewe,hivyo wenyeji wetu wakatuambia wao sio lazima na ndio maana hata hao ambao kwa mila zao ni lazima hawapendi na hujificha mpaka wanaviziwa hovyo

so huyu dada yetu nadhani amekutana na kijana asiyetoka kabila ambalo lazima watahiriwe
 

Hahahaaaaa! KUMBE KWELI?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…