Nipo bado shida tu zinanificha.Mahaba mjukuu. Hivi kwanini umeamua kunitenga?
[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji56][emoji56][emoji56]Hahaha si nilikuambia lakini ntapotea...maana naona mliniandalia tuzo[emoji23]au umesahau..??
Nasubiri mchumba angu aweke na wenu pia
Cc Don Clericuzio
Nitafutie mwingine dear babu..upweke siuwezagi
Kuna watu wanajitaftia matatizo tuu ujuee[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo watu watadhani unatania. Hawakujui vizuri
Shida ziwekwe hadharani marafiki twaweza kusaidia kuzitatuaNipo bado shida tu zinanificha.
Hatari sanaHivi huyu kijana pesa anazo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wa mtu....huooo mkuu