Ni baada ya kumkuta bibi huyo wa miaka 90 anaangalia X(film ya ngono) sebureni halafu nilikuwa na mgeni wa heshima kumuuliza kwanini hivyo eti anajibu kijana ukome wakati wako sio hua dahhhh!!! Kichwa kinauma kwa kuwaza kuhusu huyo bibi na jibu sipati.