Bibi kizee wa miaka 102 nchini Italia apona Korona

Bibi kizee wa miaka 102 nchini Italia apona Korona

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,255
Wakati wazee zaidi ya miaka 80 ni waathirika wakubwa wa Korona huyu ajuza wa miaka 102 aliugua lakini kasepa

Siri yake ni tizi, hupenda kucheza dansi haswa nyimbo za Fred Mercury yule mzawa wa Zenji na hanywi pombe au kuvuta sigara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom