Bibi kizee ahamia CHADEMA

Dah Bibi atawasimulia hadi mababu na wajukuu wakitaa hapo kamanda umeeneza shule tayali!!!!!!!
 
Kama hata wazee wameeanza kuikimbia CCM kweli hiki chama kinaweza kung`atuka bila kutarajia. Maana wapiga kura wengi wa CCM ni wazee hasa waishio vijijini. Sasa CDM ikiingia huko italeta maangamizi makubwa kwa chama changu kwa kweli
 
Acheni kuwatumia watu kwa maslahi yenu,bibi anaonekana kabisa kama amedata,unamvisha skafu halafu unasema amehamia cdm.

Nyie mmezoea kubaka maamuzi ya wazee kwa kuwavisha hivyo unavyovisema mpuuzi wewe huna adabu lala mbele na inaonekana kwenu mnalalia na kutandika sikafu za ccm na matshet mkome.
 

Duh! hii ni sawa na kumchukua mtu msukule! ataingiaje Chadema bila ya kuelezwa sera za Chama? pili umemtapeli Bibi kizee wa watu maana Chadema pia ni familia ya Ba mkwe Mtei, mkwewe Mbowe, Ndesamburo, Mwanae ndesa mbunge wa kuteuliwa, mke wake, Slaa, mchumba ake, eks wife wake, wengine wataongezea hapa......!
 


Duh! Bibi kizee huyu mwisho! yaani hana mvi hata 1?
 
Wee bibi humuogopi BABU? Tabia yake mbaya anapora wake wa watu usije ukawa mke wa pili wa BABU!!!! Ukimwona BABU kimbia usiangalie nyuma bibi yetu maana BABU hana simile...
 
Lol BIBI analia...BABU sio vizuri we ulikuwa mchungaji zamani mwogope mungu wako
 

Good job!
 
Kwanza huyo bibi anaonekana wala siyo mzee kihivyo sema tu maisha bora kwa kila mtanzania ndiyo yamemchakaza!
Mungu ampe nguvu apate nafasi ya kuuona ukombozi hata kama wanae na wajukuu ndiyo wataufaidi.
Yes we can!




 
Acheni kuwatumia watu kwa maslahi yenu,bibi anaonekana kabisa kama amedata,unamvisha skafu halafu unasema amehamia cdm.

Nyie mtumiao viumbe vya ajabu endeleeni kuvitumia, nguvu ya umma ni wananchi wala si vinginevyo.Baki na gamba lako haieleweki utalivua lini na hatujui utaanzia miguuni au kunako mkichwa?
 
Kwanza huyo bibi anaonekana wala siyo mzee kihivyo sema tu maisha bora kwa kila mtanzania ndiyo yamemchakaza!
Mungu ampe nguvu apate nafasi ya kuuona ukombozi hata kama wanae na wajukuu ndiyo wataufaidi.
Yes we can!

Elimu kwa mmoja ukombozi kwa wengi endelea kukijenga CHADEMA hadi Tanganyika yetu itakaporudi.
 
Ameona mbali sana huyu bibi akaamua kuwa sehemu ya mabadiliko ili historia yake isije kumhukumu.
 
Jemedari, nafuraishwa sna na kaz yako...big up..
 
guuud.that is m4c.bibi kaonesha mfano na wengne wanafuata,ccm imechokwa had vijiji.2015 a year of changes in tz.God blec TZ.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…