Jamani wana JF kwa kuchokonoa mambo nswavulia kofia. Nyie huyu mama aliyejaliwa ni mama mdogo wa bibi harusi mwamutafutilizia kwa nini? Mwacheni mama mdogo wa bibi arusi ajimwayemwaye kwa raha zake! Nawasilisha, wa kununa na anune, wa kucheka na acheke!! Ukiona vyaelea vimeundwa, mutakula kwa macho na fahari ya macho haifilisi duka. Angalieni video clip yake hapa chini wakati akiji mwaya mwaya!