Mi sijaona bann yake jamanianahesabu siku 30
Nguo kutoka Italy siyi nguo kwani?[TABLE="class: uiInfoTable profileInfoTable noBorder, width: 0"]
[TR]
[TD="class: data"]
MC akasema,sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi mtarajiwa,yeye huwa havai nguo za ndani,watu wakaduwa na kubaki vinywa wazi,akasema narudia tena na sijakosea,yeye huwa havai kbs nguo za ndani,yani nguo zake ni za kutoka Italy,England na Marekani,hebu mshangilieni,kila mtu Ahaaaa.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mi sijaona bann yake jamani
anahesabu siku 30
Ndio maana sioni vumbi humu ndani.ameshapigwa ban
ameshapigwa ban