CHANZO ni baada ya bibi harusi kugundua kuwa bwana ake ambaye ni BWANA LONGOLONGO hakuwa mfanyakazi kwenye kampuni maarufu ya Mafuta huko Malawi Kama alivyodai mwanzo[emoji849]
Acheni maigizo,Wekeni wazi uhalisia wenu unapokuwa kwenye mahusiano KwA ustawi wa ndoa.
View attachment 1908536