Ronaldo himself
New Member
- Nov 18, 2018
- 3
- 0
Naomba msaada wenu wadau,Nina laki mbili ninaweza kufanya biashara gani?
Laki mbili ukiamua itazaa hela nyingi sana ila ilitakiwa ufafanue vizuri kuwa upo mkoa gani,jinsia yako ,umri na elimu yako na shughuli iliyokufanya upate hio laki 2 ili watu wakusaidie michango