NESARA1952
Member
- Jun 5, 2023
- 8
- 18
BAADA YA KUSOMA ANDIKO HILI,NAAMINI HATO KUWEPO TENA ATAKAYE IBIWA MTANDAONI LABDA WEWE UAMUE
Kwa siku za karibuni kumekuwa na mifumo mbali mbali ya kigigitali Ambayo imekuwa iki jinasibu kutoa fedha kwa watu,kwa kuweka fedha kidogo na Kupata fedha kubwa,huku waki jinasibu kuwa hakuna hasara kwa WATAKAo amua kujiunga na mifumo hiyo.
Mifumo hiyo yote Ambayo Ina husicha uwekaji wa fedha kidogo ili Kupata nyingi,kwa kufanya mambo kama
✍Ucheze mchezo wa ku bet Kisha unapata faida kwa kulinganisha na kiasi cha fedha ulizo weka
✍Ualike watu ili watakapo jiunge na kuweka fedha,basi utapata malipo
""HIZO ZOTE KWA UJUMLA ZINA ITWA PONZE SCHEME ""
PONZE SCHEME NI NINI?
Ponze scheme -Ni aina ya ulaghai Ambayo Imani ya biashara isiyo kuwepo huchochewa na malipo ya haraka kwa wawekezaji wa kwanz kwa kuwaalika wengine wajiunge katika biashara hiyo.
👉Mana yake ,wale wawekezaji wa kwanza wao watapata faida kubwa kwa kuwaalika wengine wajiunge kwenye mfumo huo wa WIZI ambao kiuhalisia Hauna ithibati ya kuwepo au kufanya kazi
👉Wao Wana kuwa na Malengo Yao,kuwa idadi kiasi furani ya fedha ikiwa imetimia kwenye account zao kulingana na watu WATAKAo jiung kwa kuamini kuwa hiyo biashara ni salama,Wana zima server,zote na kukimbia na pesa zote 😂🙌
MFANO WA PONZE SCHEME
✍Mifano mikubwa ya ponze scheme ni kama
📌FIC
📌LBL
📌 Network pesa
📌Zile link za UNICEF......
Na nyinginezo zote unazo zijua
UTAJUAJE KUWA HII BIASHARA NI PONZE SCHEME?
📌Ukisha ona hiyo biashara hawana account ya bank halisi ya kufanyia kazi,ukiona kuwa hiyo biashara lazima Ualike wengine ili upate faida zaidi hiyo ni PONZE SCHEME
📌Hizi biashara Wanao FAIDIKA ni wale Wa kwanza kabisa, kwasababu itafikia hatua itakuwa imesambaa kwa watu wengi sana na wata Pata faida na mara nyingi wao Wana kuwa na taarifa zote,ambazo lini wata Zima servers zao na kukimbia na pesa zote 😂🙌
📌Mara nyingi huwa hawana leseni yeyote ile,ya biashara Wala hawana uhalali wa kufanya hiyo kazi mwisho wa siku huwa Wana KIMBIA na fedha zote 😂🙌Kaa ku freeze account zote
📌Mfano halisi ni huu wa FIC na LBL ,,,,,hizi zote ni PONZE SCHEME na mwisho wa siku watu wameibiwa
📌Kwa ufupi ukisha ibiwa,hakuna sehemu uta enda na Kupata msaada wowote wa kisheria kwasababu pia,hao watu wana kuwa wamesha ondoka Ndani ya nchi au Wana kuwa sio watanzania kabisa
USHAURI WA BURE KABISA
📌Usikubali kufungua link/kiunganishi chochote utakacho tumiwa kwa njia ya ujumbe au WhatsApp au kwa njia yeyote ile
📌Usikubali mtu akuunge kwenye biashara Ambayo lazima Ualike watu ndio upate faida,jua hiyo ni ishara ya kwanza kuwa hiyo ni wizi
📌Usitoe namba Yako ya Siri Kwa mtu yeyoye yule
EPUKA PONZE SCHEME FANYA KAZI ACHA KUTAMANI UTAJIRI WA HARAKA