Biashara za nyumba na magari zimeshamiri kwa sasa, tuwe makini na utapeli

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Sasa hivi ukiingia mtandaoni yaani utakuta mashindano ya matangazo kila unapo-scroll simu yako kwenye page za mitandao utakutana na matangazo ya BIASHARA.

Biashara hizi ni za madalali wa viwanja na watu wenye makampuni ya uuzaji na uagizaji wa magari. Biashara hizi zimeshamili mjini ambapo zinaleta mwanya wa matapeli kupita na fursa hii kuanza kuwadhulumu wananchi.

Rai yangu tuwe makini tusije ingizwa kwenye utapeli au migogoro na Huu utitiri wa haya makampuni.

Asanteni, nawasilisha.
 
Back
Top Bottom