Biashara za mitungi ya gesi za kupikia

Biashara za mitungi ya gesi za kupikia

Mpembuzi II

Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
18
Reaction score
21
Wadau.....

Nataka kujua kuhusu biashara ya gesi za kupikia kama orxy, lake etc .... Ukitaka kuanzisha biashara hii ni mlolongo gani unapitia?

Na faida zake zikoje?

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom