Biashara za jezi (Yanga & Simba)

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,646
Hii biashara inachukuliwa katika hali ya wepesi sana nadhani pia ni sababu serikali haijaweka mkazo kwa adhabu kwa wale wanaotengeneza jezi fake.

Yes ni ngumu kuzuia jezi fake mtaani but hebu soma hapa kidogo.

Tuseme adhabu ya ukikutwa najezi fake unakamatwa na kupelekwa mahakamani adhabu ni kifungo cha mwaka au fain mil 5.

Ni adhabu ndogo kwa mtu anayefyatua hiz jez but kwa mvaaji ni adhabu kubwa.

Mtu anayeshinda zabun ya utengenezaji wa jezi akaamua kuingia ubia na serikali kila timu inapokuwa uwanjani unayeingia uwanjani uje na jezi og au nguo yako ya kawaida.

Ukikamatwa uwanjani umevaa jezi fake mojalwa moja mahabusu na mahakamani naamini watu wataogopa kwenda uwanjani na jezi fake

Hilo zoezi lifanywe mikoa yote timu ikienda kucheza wanaenda na jezi og zinauzwa nje ya uwanja na ukiongia na jezi fake unadakwa

Matokeo yake yatakuwa haya.

Ikotokea watu laki 5 tu wamenunua jezi og kwa 30000 basi itakuwa imeingiza Bil 15.

Je, simba au Yanga hazina mashabik wanaoweza nunua jezi zaid ya laki 5?

Hii biashara ni kubwana inatosha kuziendesha hizi club maana watu mil 1 wakinunua una bil 30 bado skafu na vikorokoro vingine

Hebu serikali na vilabu husika viangalie hili swala.

Hongera Vunjabei.
 
Hapo kuna gharama nyinginezo kama vile production, transportation na distribution. Inagharimu bil. Kadhaa pia kuna kodi n. K
 
Wakiweka njia mbadala kila kitu kinawezekana

Ila muhim siku ya mechi iwepo sehem maalum ya kuuzia jezi og

Congratulations vunja bei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom