Biashara yangu ya mgahawa imenibidi niifunge

Biashara yangu ya mgahawa imenibidi niifunge

Mr jemoo

New Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
2
Reaction score
10
Jamani Wana Jamii forum nilitengemeza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu,chapati,ugali, na wali.

Nikawa nauza vizuri TU siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilibaki yaan saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivo hivo

Ila siku zilivyoenda kama wiki ya pili mambo yakabadilika Yani kuanzia asubuhi mpaka jioni wanakuja watu 4 Hali ambayo sio ya kawaida hata kidogo mpaka nikafunga.

Nikaona ule ni Uchawi Live na wengine wakaniambia wanataka uhame uwaachie Site😣 ,

Wengine wananiambia niendelee kumwaga mazaga zaga ya kuvutia zaidi dah😓

Jamani kwa wazoefu sehemu zinazokuwa na mambo ya kishirikina kama hizi wenzetu mnafanyeje nisaidieni nirudi kwa ofisi yangu.

Ile ndo mi nilikuwa naitegemea Sina maisha bila pale na niliwekeza nguvu zangu zote nikiamini natoboa.

Please msaada kwa mliowahi kumbana na watu wanaologa biashara zenu zife au kutaka kuwahamisha mni save niokoe ugali wangu🙏🙏
 
Kama wateja walikuwa wanakuja kwa siku 2 mfululizo kuna jambo hapo halipo sawa labda walikuwa wanajaribu kuona utofaut wa chakula chakona wengine na baadae wakaona n cha kawaida hvyo wameamua kurud walikokuwa wanakula mwanzo

Pili vipi kauli zako na za wafanyakaz wako inawezakana kipengele hicho hakipo sawa jichunguZe

Tatu washindan wako ambao walikuwa wanauza kabla yako nao wamejiongeza Zaid kwa kutoa discount au kuongeza kipimo na bonus mbalimbal

La mwisho ushirikina upo wala usisite lakn hil liwe la mwisho baada ya kujiridhisha hayo mambo matatu juu
 
Biashara ya chakula ndivyo ilivyo! Ukifungua mwanzoni kabisa wanakuja wateja kama wote! Huwa wanakuja kujaribu kama chakula ni kizuri, sasa kumbuka wanawahama wauzaji wengine kule wanakosa wateja! Inakuwa kama vile wewe umekuja kuwaondoa hao wateja!

Nakumbuka pia miaka ya nyuma huko nilifungua kisehemu, nilifunga sijui mwezi tu🙌🏾
 
Sema biashara ya chakula ina hitaji moyo mgumu sana na uvumilivu 🤔
 
Pole sana
Sina uzoefu na biashara ya chakula lakini nikuulize jambo
Je hukufungua kipindi hichi cha mfungo?
Je hapo ulipo hamna migahawa mingine?
Je una wapishi wazuri??
Bei zako vipi?

Ndugu yangu kama ulifungua kipindi cha ramadhani unaweza kukutana na changamoto sana
Lakin umesema siku za mwanzo wateja walijaa
So inawezekana ni wamekuja kutest ladha ya msosi kisha wakaukuta mbaya au bei zako zipo juu
Hivi unajua kuna watu wanawasha gari wanaenda kufata msosi mbali sana
Mimi ki ukweli nikija kwako kwa mara ya kwanza msosi ukawa mbaya hata kama unauza rahisi vip sirudi tena

Sehemu za vyakula mpishi anatakiwa kuzingatiwa sana wakati unafungua biashara ya msosi

Alafu pia LOCATION yako ipoje??
Mazingira yanaruhusu watu kuwa wengi kila siku??

Hilo la migahawa kuwa mingi inachangia sawa wateja kuwa na option za kutosha

Pia varieties za vyakula

Cha mwisho kabisa ambacho naweza nikakushauri japo post yako haijaeleza mambo mengi ili upate kushauriwa
Wakati unaenda kufata mahitaji yako sokoni omba MUNGU na ombea vile vitu
Kisha ombea hapo kazini ...ombea na vitendea kazi
Waweke na hao wafanyakazi mikononi kwa Mungu
Alafu pia asubuh sana wakati mnafungua hapo mwaga chumvi ya mawe nje na ndani
Na pia weka station ya mahubiri..yale maombi ya usiku kuamkia asubuh
Mpaka mkishafungua kila kitu kipo tayari ndo unazima redio/youtube
La mwisho consider delivery
Anza kupost msosi unaoutengeneza na ku offer delivery service
USIFUNGE BIASHARA
PIKA HATA KILO MOJA YA NCHELE ,kilo ya unga na mboga zingine kidogo kidogo
Ongeza na udambwi udambwi wa juyce,mtindi

Weka kila kitu kidogo kidogo
Option ya kufunga iwe ya mwisho
ALL THE BEST DEAR
 
Jamani Wana Jamii forum nilitengemeza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu,chapati,ugali, na wali.

Nikawa nauza vizuri TU siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilibaki yaan saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivo hivo

Ila siku zilivyoenda kama wiki ya pili mambo yakabadilika Yani kuanzia asubuhi mpaka jioni wanakuja watu 4 Hali ambayo sio ya kawaida hata kidogo mpaka nikafunga.

Nikaona ule ni Uchawi Live na wengine wakaniambia wanataka uhame uwaachie Site😣 ,

Wengine wananiambia niendelee kumwaga mazaga zaga ya kuvutia zaidi dah😓

Jamani kwa wazoefu sehemu zinazokuwa na mambo ya kishirikina kama hizi wenzetu mnafanyeje nisaidieni nirudi kwa ofisi yangu.

Ile ndo mi nilikuwa naitegemea Sina maisha bila pale na niliwekeza nguvu zangu zote nikiamini natoboa.

Please msaada kwa mliowahi kumbana na watu wanaologa biashara zenu zife au kutaka kuwahamisha mni save niokoe ugali wangu🙏🙏
Jifunze kupika wacheni visingizio ...hata ukipika ugali na mmboga ya nguru tu vizuri peke yake utauza hadi utakimbia wateja ...mnapenda kupika vitu vingi bila ya ubora, unakuta ugali na mboga 5 zisinzo na ubora na Nyanya masaro, dagaa wananuka shombo kali na wamechemshwa zaidi ...vyakula vya mitaani vina kasoro nyingi zitokanazo na kutokujua kupika siyo upungufu wa pesa ..mfano dagaa wanao pikwa mitaani wananuka shombo sana ...ukila kwa wingi unasikia kichefu chefu...wapishi hawajui hata kuosha , kuchambua na kupika dagaa ...hawajui kupika Nyanya wala kitunguu... wengine wanaweka kaloti kwenye dagaa bila ya kujua kuwa kaloti zipo aina mbili za mapishi ...yaani kaloti tamu na kaloti chungu ..kaloti za kupikia ddagaa ni lazima ziwe zile zisizo tamu yaani chungu...hata kaloti ya kachumbali inatakiwa ziwe zile zisizo tamu...ila watu wanachukua tu kaloti yoyote na masokoni kaloti aziya tengwa kwa makundi ya tamu na zisizo tamu... unakuta mpishi anashindwa hata kutia pilipili mbili mbuzi na polipili hoo kwenye maharage kufanya harufu nzuri na radha
 
na pia kwakua ndo umeanza biashara usipike chakula kingi sanaaa anza kidogo kidogo utakua unaongeza kadri wateja wanavyokuja,,,, customer care iwe nzuri, hakikisha chakula ni kizuri na kitamu,, usafi uwe wa kutosha kuanzia wahudumu mpka kwenye vyombo vinavyo tumika,, bei ya chakula na kipimo vina matter kwa wateja, n.k
 
Pia asiasahau kua Biashara ni matangazo,
Dunia ilisha badilika.
 
kabisaa kama anajiweza anaweza kuprint vipeperushi akasambaza kwenye maduka ya hapo jirani kwake aweke na namba ya simu,,, mteja mmoja akiridhika na chakula lazima ataleta wengine
Kabisa pia asikae tu kusubiria wateja , atafute vikontena , asake wateja kwenye maofisi mbalimbali, akipata kumi wa kudumu atajua mwelekeo wa biashara yake , pia chakula kizuri kitambeba🤔
 
Kabisa pia asikae tu kusubiria wateja , atafute vikontena , asake wateja kwenye maofisi mbalimbali, akipata kumi wa kudumu ajatujua mwelekeo wa biashara yake , pia chakula kizuri kitambeba🤔
asisahau kuweka wahudumu vijana wenye tabasamu mda wote ila tu wasivae uchi sana😆😆😆😆
 
Hata mwezi huna unagive up unavyofunga ndo unapoteza jina na wateja kabisa bora upunguze kipimo cha chakula kama kilo kumi fanya hata 3 ila siyo kufunga kabisa biashara ni ubishi na wateja siyo mpaka waje hapo bandani force kuwafuata wateja labda kwenye maduka au kama kuna site ya gereji
 
Kabisa pia asikae tu kusubiria wateja , atafute vikontena , asake wateja kwenye maofisi mbalimbali, akipata kumi wa kudumu atajua mwelekeo wa biashara yake , pia chakula kizuri kitambeba🤔
Bwashee unajua sio kila mtu anaweza kua mfanya biashara,
Mleta mada bora ajikite tu kwenye kilimo cha Vitunguu,
Biashara ina wiki mbili tu anataka kukimbilia kwa waganga!
 
Back
Top Bottom