Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,011
- 14,349
Majirani zako wenyewe wanapata hasara tena ya kutosha, ila wewe sasa nadhani hasara yako ni kubwa zaidi hata kabla ya kuanzaNimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa
Dahhhhh...... nimegundua yale maji yalikuwa ni ya ùpupu, na yale magari hayakuwa ya zimamoto yalikuwa ni ya kunyonya maji taka😛😛😛😛😛😛 na ukaitengenezea mnvua siku unaipokea. Kazi unayo. mvumilivu hula mbivu mkuu
Nimerogwa..... mbona slim shady yeye mabundi yake yanaendelea vizuri sana tu, why me? Am I Baloteli?Majirani zako wenyewe wanapata hasara tena ya kutosha, ila wewe sasa nadhani hasara yako ni kubwa zaidi hata kabla ya kuanza
Sasa babu kaniongezea bundi mwingine mzee.... nasikia Ana miaka 50. Hawa nilionao ni mzigo kwangu, hamna biashara, babu naye ananiongezea lijibundi zeeèeee..... si balaa hili?
Bundi limepakwa rangi ya kucha kwa mamilioni. Mweee
Ameshasema aliwanunua kwa mbwembe nyingi hao bundi na kwamba angekuwa juu juuu zaidi ya Pierre nkonki likwidii fayaaaa.....sasa aje aonekane kayauza kwa majirani zake Tena kwa nusu bei,
Acha tu tujipe moyo kuna siku mijibundi itageuka kuwa tausiIla mkuu hapa mtaani kwetu unaheshimika sana kwa kuwa na hiyo mijibundi. Sifa zako zimeenea kila mahali kwa jinsi ambavyo umeweza kuendesha kilimo cha bundi kilichowashinda watangulizi wako hapo kabla. Sasa hivi wewe na wanao mnatembea kifua mbele kwa kumiki mijibundi yenye afya tele hata kama kwenye uchawi hai pafomu kiviile sio haba 😀😀
Halafu majirani wenyewe wana mdomo hao!!!!Ameshasema aliwanunua kwa mbwembe nyingi hao bundi na kwamba angekuwa juu juuu zaidi ya Pierre nkonki likwidii fayaaaa.....sasa aje aonekane kayauza kwa majirani zake Tena kwa nusu bei,
Sura yake ataifichwa wapi mkuu au utamsaidia kuona aibuuuu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Na lile lijibundi lako ulilolipeleka kwa jirani ulishindwaje kuliuza au jirani zako hawajui uchawi wa kuroga watoto zao waumwe hata vichwa nasikia umeshaanza kutukana watoto wako kuwa hawakuelewi🤔🤔🤔hawakuelewi au wewe ndo uelewi mambo ya sales na marketing katika biashara yako ya mijibundi mkuuSasa babu kaniongezea bundi mwingine mzee.... nasikia Ana miaka 50. Hawa nilionao ni mzigo kwangu, hamna biashara, babu naye ananiongezea lijibundi zeeèeee..... si balaa hili?
Bundi limepakwa rangi ya kucha kwa mamilioni. Mweee
Hilo lijibundi mulilolipaka rangi ya kucha si ulipeleke mombasa mana lile lingine lilishavuka border, sijui sijui kwenye umisiSasa babu kaniongezea bundi mwingine mzee.... nasikia Ana miaka 50. Hawa nilionao ni mzigo kwangu, hamna biashara, babu naye ananiongezea lijibundi zeeèeee..... si balaa hili?
Bundi limepakwa rangi ya kucha kwa mamilioni. Mweee
Mkuu acha tu niungame. Nilikurupuka. Sina business plan wala strategies za kufanya biashara za bundi niziendeshe kwa faida na weledi, naendeshwa na kiki tu ili nimfunike baba na kaka zangu wakubwa walionitanguliaNa lile lijibundi lako ulilolipeleka kwa jirani ulishindwaje kuliuza au jirani zako hawajui uchawi wa kuroga watoto zao waumwe hata vichwa nasikia umeshaanza kutukana watoto wako kuwa hawakuelewi🤔🤔🤔hawakuelewi au wewe ndo uelewi mambo ya sales na marketing katika biashara yako ya mijibundi mkuu
Hiyo ni kujikwaa kabla hujaanza safari.Majirani zako wenyewe wanapata hasara tena ya kutosha, ila wewe sasa nadhani hasara yako ni kubwa zaidi hata kabla ya kuanza
Hivi ukijikwaa kabla ya kuanza safari unarudi kulala?Hiyo ni kujikwaa kabla hujaanza safari.
We ni mtu mzima hurudi kulala watoto watakushangaa wakati umewaaga kwa mbwembwe zote watajua yule kamongo waliyemsikia ukimtamka tamka kuwa ni wewe, cha kufanya ni kunyanyuka, kujifuta vumbi na kuendelea na safari. Muapiza la ndani upata la njeHivi ukijikwaa kabla ya kuanza safari unarudi kulala?
Nimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa
Bila Shaka hii ni kithomi inaitwa "Conversational Implicature" bila Shaka sio bundi huyu tumjuaye sasa mkuu funguka kidogo kweli ni Bundi au Madege ya Jiwe letu la pale ferryNimenunua mijibundi mikubwa kwa midogo kwa mbwembwe nyingi sana. Kwa mikogo na mwendo wa madaha nilijigamba kila kona huku nikiwatambia wapinzani wangu kuwa naenda kuwa juu kama Pierre Liquid Konki Fayaaaaa.
Matarajio yangu ilikuwa niipeleke mibundi yangu nchi jirani na za mbali, hasa Bollywood na Uchinani.
Nimeshindwa, wamesema hawataki uchawi kwenye nchi yangu.
Mibundi mikubwa imelala tu inapigwa na vumbi na kuzeeka, vibundi vidogo navituma mikoani lakini navilisha kwa gharama kubwa na havinipi faida, watu hawana hela nashindwa kuwapiga chuma ulete.
Bora ningekuwa msikivu ningechimba visima wanangu wapate maji kuliko biashara hii kichaa ya uchawi wa mabundi.
Mapovu ruksa
Mi mwenyewe naunga mkono hojaBila Shaka hii ni kithomi inaitwa "Conversational Implicature" bila Shaka sio bundi huyu tumjuaye sasa mkuu funguka kidogo kweli ni Bundi au Madege ya Jiwe letu la pale ferry