Biashara ya viungo vya chakula

Feb 10, 2021
2
0
Habari kwa mwenye uelewa wa biashara ya viungo vya chai na chakula nahitaji mtaalamu aliepo moshi mjini mini nina mtaji wa pesa ila nahitaji mtaalamu anaejua kutengeneza viungo mbalimbali ili tufanye kazi.
 
Back
Top Bottom