Biashara ya vitenge ni black Diamond!?

Kuna mwezi fjlani nyjma kidogo kama sio August au september TRA ili waita wadau wa hii biashara ili TRA na wadau hao washirikiane ktk kuangalia upya makadirio ya kodi zao kama sikosei aisee ilikuwa live wasafi fm.asubuhi ktk kipindi cha morning breakfast. Aisee wale wafaanya biashara walijifanya kulia eti wanapigwa kodi kubwaaa sanaa
 
Awamu walioisubiri kwa hamu hatimae imefika....mengine maigizo tu tunaoneshwa
 
hapa umeongea ukwel kariakoo matajiri wamejificha ila yale maduka wanapata mizigo kwa shida mno maana wanapochukua mzigo hawapewi risiti so ina ngumu kwa wenye maduka nao kutoa risiti
 
hapa umeongea ukwel kariakoo matajiri wamejificha ila yale maduka wanapata mizigo kwa shida mno maana wanapochukua mzigo hawapewi risiti so ina ngumu kwa wenye maduka nao kutoa risiti
Na hiki ndio kilichomkuta yule mama wa Dom
 
Kama Unaweza Ni PM Kaka
 
Hapo nyuma nikiwa bado kijana nilikuwa mzalendo sana,lakini leo kuwa mzelendo nimeona ni upumavu kwasababu wanaotuasa raia tuwe wazalendo wao sio wazalendo wanafuja kodi zetu.
Ukifuatilia vijana wa TRA wanaokamata watu kariakoo kwa kutodai risiti vijana wadogo wana utajiri usiolingana na vipato na hata umri wao.Vijana wengi ni wezi Sana huko makazini.Mawaziri nao kadharika ni tabu tupu.

Kutokana na sababu hizi nchi yangu itanisamehe nikipata mwanya nami huwa nakwepa nimechoka na huu wendawazimu.

Nashauri kula hamsini zako fanya yako acha wafanyabiashara nao wale.Unaweza ukatoa taarifa kwa nia njema then ukawa umewatengenezea TRA mwanya wa rushwa badala ya kulisaidia taifa.

Juzi nadhani ulisikia taarifa ya wahariri kule Iringa wakidai familia 12 za vigogo ndio waharibufu wakubwa kwenye chanzo cha maji cha mto ruaha mkuu.Na hawa vgogo utakuta ndio wanatukamata sisi tusipodai risiti.Ni ukichaa huu fanya yako mkuu
 
.Unaweza ukatoa taarifa kwa nia njema then ukawa umewatengenezea TRA mwanya wa rushwa badala ya kulisaidia taifa.
 
Tanzanite inapita mbele ya kijana mzalendo na mbele ya macho yake alipofikisha taarifa jimboni kwake askofu wake anamwambia kwani wewe una shida gani njoo uchukue sadaka 😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…