Biashara ya vitenge ni black Diamond!?

Kuna wafanya biashara wakubwa hapa Tanzania. Na kuna wanaowafanyia biashara hawa wakubwa.
Asilimia kubwa ya wenye maduka hata Kariakoo ni wahangaikaji. Wanapewa mzigo na waagizaji wakubwa bila ya kupewa risiti. Mpango wa kuuza na taratibu za kodi wapambane kwa akili yao. Kama unataka risiti hupewi mzigo.
Hawa wadogo hawawezi kuagiza na kushindana bei na waagizaji wakubwa. Matokeo yake wanawafanyia kazi matajiri wakubwa huku wakijitahidi misingi isikate.
 
Kama ulikua hujui Basi wewe bado chaliitu.kuwa kwanza.haya mambo kawaida sana ujanja ujanja unahitajika sana.ukifata Sheria utabaki naumaskini wako
 
Mama bonge! Mtani vingine viache tu vipite maana vina kina kirefu kama utupu wa mwembamba
Mama bonge, ni husler nakumbuka miaka ile ya 90.mumewe alikua mbeba mizgo kwa guta pale TAZARA, alidunduliza pesa akapgana na mahindi akisomba na punda. Leo hii wavivu bila kutafakari hustling ya Mtu wanamkejeli kwa maneno ya fyoko. Pesa hazifuati mtu mvivu, bali mpganaji. Kama amepgana mpaka wanamwonea gele. Wenye wivu Wafie mbele!!
 
Wakifanya hivyo hata kodi iwe 30% hakuna wakulalamika
 
Mkuu tupiako basi kapicha kake mama bonge. Nasikia ni white halafu kafungasha mzigo wa hatariiii nyuma.
 
Kama ulikua hujui Basi wewe bado chaliitu.kuwa kwanza.haya mambo kawaida sana ujanja ujanja unahitajika sana.ukifata Sheria utabaki naumaskini wako
Asante
nikiwa mkubwa nitafanya hivyo
 
Juhudi na kismati pia! Nyota ya jaha
 
Mkuu tukupe u maneger wa kanda ya kikodi ya k.koo ukusanye hyo mil 100....?ukishindwa tukufanyeje?chagua mwenyewe adhabu
 
Aulizwe Katele
 
Kitenge nimeiweka kwenye kundi la biashara ya vipodozi kama vile haramu fulani kupoteza hela ni sekunde tuu na kupasua ni sekunde tuu pana kipindi vijana wa Kariakoo walioshika hilo soko walifikia hadi kuuana na wengine walikua wanatunza hela tuu mpaka 300m kwa ajili ya kununua hapo hapo bandarini pana mshkaji hizi kazi za kimafya anaziweza ila alipofatilia hiyo ishu aliachana nayo majibu aliyonipa akasema haina tofauti na Sembe ya Pakistani tuu..kodi yake ni kubwa na kuchomana ni nje nje ili polisi wakimata mzigo uuzwe juu kwa juu...
 
wauzaji wakubwa wa vitenge k/koo ni primi mushi na salome mgaya mama bonge hawa watu ni hatari na nusu mizingo haishikwi ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…