Biashara ya vitenge Kigoma

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,353
Wenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?
 
Wenye uzoefu wa biashara hii, hoteli za bei nafuu Kigoma, sehemu ninnayoweza kupata mzigo kwa bei ya jumla na mtaji kiasi gani kuanzia?
The easiest way ni Burundi.
I took one for bi mkubwa nadhani haikuzidi 20,000 za tz kwa wax OG (nahisi walinipiga lkn iyo 20.000
)
 
Hapa Katoro jora tunauziwa 36 lina pair 3 I mean pic 6.

Java ni 20 lina pic 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…