nakushauri mtafute mpemba aliyekaribu na wewe utapata majibu.....mim nitakusaidia kukuonesha chimbo lake KARIAKOO, machimbo yapo matatu tu,japo maduka yako mengi yanayouza hivyo vifaa, chimbo la kwazwa nenda duka la KIMJI mnazi mmoja, nenda kwa AZANI nimesahau mtaa wake japo watu wanapenda kuita Dubai ndogo kule nenda kwa OMARY BONGE mtaa wa tandamti,