Biashara ya vifaa vya umeme wa majumbani

Joasi

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
768
667
Habari hapa
Nimekuwa natafuta mwanga katika maisha kwa miaka sasa .
Nimaenza uwakala wa kibenk na mitandao ya simu kwa mwaka sasa na sijaona faida yake kubwa kwa kweli.

Ni kama mwezi sasa nawaza kubadili biashara nihamie vifaa vya umeme pamoja na solar hapa nagusia pamoja na TV na radios .

Kwa sasa nipo geita katoro na mtaji bado ni mdogo .

Naomba mtu mwenye kuelewa zaidi biashara ya electronics anipe mini pamoja na machimbo ya bei nyepesi.

Lengo langu ni kuanza kwa kuuza kwa bei ya jumla lakini target ni kumuuzia mtu wa rejareja kwa bei nyepesi sana ili awe mteja wangu.

Kwa sasa nahitaji sana connection ya Sunday ,africable na company nyingine .


Naomba sana pia kupata mwongozi wa namna ya kuendesha duka la vifaa vya umeme.

Binafsi nauwezo sana wa kuongea na mteja na ndio sababu ya
kuachana na biashara ya miamala .

Pia ntaomba kupata picha mbalimbali za mpangilio wa duka pamoja na bidhaa zake.




Mtaji kwa sasa ni 20-25m



.
 
Ukikosa mtu wa kukupa list ya vitu vya kununua jiongeze, We tafuta fundi akuandikie list ya vitu vinavyotembea Sana Kisha nenda maduka makubwa ya jumla kariakoo watakujazia Bei ya kila item, Kisha upige hesabu zako urudi ununue .pia watakusaidia kukupa vitu variety kutokana na brand na idadi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Angalizo usije ukaenda dukan et wao ndo wakupe list, watakujazia matakataka mengi sana.
 
Back
Top Bottom