Biashara ya uwindaji halali njoo tuungane

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
377
wakuu niko tumbo joto naogopa kamtaji kangu kataisha nimepata vihela hapa,
lakini wazo langu la kwanza ni kufanya biashara ya nyama pori niwinde niuze, naomba mwenye uzoefu na mwenye utayari tuungane, nimebahatika kuishi na wawindaji hao inalipa sana tu
karibuni

PM me
 
uko mkoa gani? na wanyama gani mmnaowinda? kama pembe za faru fresh niko upande wako
 
wakuu niko tumbo joto naogopa kamtaji kangu kataisha nimepata vihela hapa,
lakini wazo langu la kwanza ni kufanya biashara ya nyama pori niwinde niuze, naomba mwenye uzoefu na mwenye utayari tuungane, nimebahatika kuishi na wawindaji hao inalipa sana tu
karibuni

PM me
Sasa kama umesema inalipa sana unakua na wasiwasi gani kwa kamtaji kako?
 
Uwindaji unaruhusiwa kwa kuwinda kitoweo, wewe na familia yako si kwa kuuza kibiashara. Huwezi kupata leseni ya biashara hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom