Biashara ya utapeli inalipa?

Inalipa sana tu,case study ni lugumi ,huyu alianza kama mshona viatu maeneo ya mwanza hotel kisha akajiongeza kwenye utapeli mkubwa mkubwa,sasa hivi anawatapeli mpaka polisi na hawana cha kumfanya,rejea tenda ya kufunga cctv camera vituo vya polisi na tenda ya ununuzi wa sare za polisi amepiga billions za kutosha na bado anadunda😁 shamba la bibi ndio hili sasa😀😀
 
Daah kweli huku ndio pesa imelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…