Biashara ya umachinga sasa yahamia kwa wachina Dar.

Biashara ya umachinga sasa yahamia kwa wachina Dar.

Tiger One

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
568
Reaction score
312
Katika hali ya kustaajabisha leo maeneo ya Survey Dar Es salaam, machinga wa kichina alikutwa na camera yetu akitembeza simu za kichina aina ya Nokia zenye thamani ya 70,000 kila moja ila yeye akiwauzia wateja wake kwa laki tatu kila moja. Tatizo lake ni luga make inafikia hatua anaandika bei zile tarakim kwenye calculater.
Hivi kweli serikali yetu imefumbia macho swala hili mpaka hali hii?
Hatari sasa.
 

Attachments

  • Mchina.jpg
    Mchina.jpg
    218.2 KB · Views: 104
UKishangaa ya Musa utayaona ya filauni.
Wako busy na CHADEMA
 
Inabidi watanzania tuwemakini na hawa wachina, bidhaa nyingi wanatuuzia feki! Bado na ajira zetu ndogondogo wanatunyang'anya! Aibu.
 
Vichekesho ni kwamba mchina alipostukia anapigwa picha akatimua mbio huku akisema nonono! Watu wote ilibidi tucheke tu!
 
Nyie mnawaita wamachinga, serikali inawaita wawekezaji!!!!
 
Hivi huyu alikuja nchini kwa kibali gani sasa au siku hizi kuna vibari vya umachinga?
 
ni watu muhimu sana hawa .LA SIVYO TUTAKUFA NJAA
 
Aibu tupu. Serikali ipo lakini viongozi wake wanafikiria ufisadi kila kukicha na kuvuruga demokrasia nchini.
 
Back
Top Bottom