AsanteMaamuzi yako ni mazuri nikupe hongera kwa hatua Hiyo
Sehemu ambazo ni nzuri kwa Hiyo biashara ni stand za mabus hizi huku ndiko naonaga Watu wengi wanakunywa uji
ShukranKila la kheri dada
AsanteUngekua mwanza ningeshauri ufanyie buhongwa center kuna population hasa nyakati za jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaanza kidogo kwanza asante kwa ushauriFanya lakini sikushauri kuanza na pesa yote hiyo.
Anza hata na Themos 3 au 5 na utakuwa unaongeza kidogo kidogo kulingana na mwenendo wa biashara utakavyokuwa.
Kila la kheri ndg yangu... Nitakuunga pengine tukionanaNitaanza kidogo kwanza asante kwa ushauri
Asante. NtakutafutaNi Idea nzuri sana, Ila kuna vitu unapaswa kuvifanya,
1.lazima uzalishe uje very Unique
2. Distribution model yako iwe tofauti kabisa.
3.packaging yako iwe tofauti kabisa
Nitafute kwa wakati wako nikupe dondoo hasa Packaging unaweza fanya vipi na Distribution model iweje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuseme za ukweli uji umekuwa common kwa sasa!....sijajua km kuna kipya!
Ningekuwa ndo mie Maathai ningeenda Katoro kuchukua vitenge vya bei chee!...kila kitenge sikosi 4000!.chukua kitenge kwa 18000uza kwa 25000
Katoro Geita?Tuseme za ukweli uji umekuwa common kwa sasa!....sijajua km kuna kipya!
Ningekuwa ndo mie Maathai ningeenda Katoro kuchukua vitenge vya bei chee!...kila kitenge sikosi 4000!.chukua kitenge kwa 18000uza kwa 25000
Wacha weeTuseme za ukweli uji umekuwa common kwa sasa!....sijajua km kuna kipya!
Ningekuwa ndo mie Maathai ningeenda Katoro kuchukua vitenge vya bei chee!...kila kitenge sikosi 4000!.chukua kitenge kwa 18000uza kwa 25000
Huamini ehe?