Biashara ya Tunu za kale

Biashara ya Tunu za kale

Habari wanajamvi!
Kuna mtu ameniomba nishirikiane naye kwenye biashara ya uwakala/udalali wa tunu za kale na kwa maelezo aliyonipa ni kwamba tunu hizo za kale ni mali zilizoachwa na wakoloni kama Wajerumani na Waingereza walioitawala Tanganyika.

Kuna maswali machache napenda kufahamu zaidi kuhusu hii biashara kutoka kwa mtu anayeifanya au ana uzoefu wowote kuhusiana na biashara hii kwenye maeneo yafuatayo.

1. Uhalali wa biashara
2. Soko lake
3. Risk zitokanazo na biashara hii
Nawasilisha
Kuna uongo mkubwa sana kwenye hizo biashara zikiambatana na mauzauza ya kila namna. Kuna jambo limefichwa kwenye hiyo biashara kwa ujumla sikushauri upoteze muda wala fedha huko.
 
Asante sana kwa maelezo mazuri. Sababu ya kufikisha hapa ni kwamba nilitafta data hadi google kuhusiana na biashara hii nikakosa ndipo nikaamua kulileta JF ili kila mtu mwenye ufahamu anipe mwanga kidogo. Aliniambia tushirikiane naye kama partners kufanya hii biashara.
Sasa Emu Nambie hasa, unataka kujua kuhusu nini hasa? Niko na uzoefu kidogo naweza kukusaidia.
 
Watu wameskia tunu za kale mawazo yameenda kwenye kutafuta masanduku ya mali kubwa kubwa kama sarafu zilizoachwa n mkoloni pamoja ni vito vya thamani.

Kimsingi mbakosea tunu za kale ni pamoja na masalia au vitu vilivyo achwa na mkoloni mfano mtungi, sahani, chanuo , jambia au majembe yaliyotumiwa na mkoloni na vitu kama hivi vipi kuna watu wameviweka stoo tu hawavitumii so msikalili kua tunu za kale ni kama ile biashara ya watu wanaenda kwa waganga wanaelekezwa wakoloni walipofukia mali zao naona wengi wameegemea uko ambapo ni upotoshaji.

Mleta mada nakushauri uchuje mawazo unayopokea kwa kina na kama ukiamua kufanya biashara hii usiingie miguu yote miwili
 
Sasa Emu Nambie hasa, unataka kujua kuhusu nini hasa? Niko na uzoefu kidogo naweza kukusaidia.
Sielewi mfumo mzima wa hii biashara.
Kwa mfano mtu akiwa anafanya hii biashara ndio anakuwa anazunguka huku na kule kutafta hizo tunu au?
 
Watu wameskia tunu za kale mawazo yameenda kwenye kutafuta masanduku ya mali kubwa kubwa kama sarafu zilizoachwa n mkoloni pamoja ni vito vya thamani.

Kimsingi mbakosea tunu za kale ni pamoja na masalia au vitu vilivyo achwa na mkoloni mfano mtungi, sahani, chanuo , jambia au majembe yaliyotumiwa na mkoloni na vitu kama hivi vipi kuna watu wameviweka stoo tu hawavitumii so msikalili kua tunu za kale ni kama ile biashara ya watu wanaenda kwa waganga wanaelekezwa wakoloni walipofukia mali zao naona wengi wameegemea uko ambapo ni upotoshaji.

Mleta mada nakushauri uchuje mawazo unayopokea kwa kina na kama ukiamua kufanya biashara hii usiingie miguu yote miwili
Kama hizo tunu zinakuwa zimehifadhiwa na watu wengine it means mimi nita act kama middle man ama vipi
 
MWENYE RUPIA ZIFUATAZO: FUFUMARK, RUPIA YA SIMBA WAWILI, RUPIA YA KITUMBUA , RUPIA NYEKUNDU , DINALI YA JICHO... NA MWENYE VITU VIFUATAVYO: MAJI MEKUNDU AU MEUSI (MERCURY) , MWENYE PASI , JIKO , CHEMLI , KIKOMBE , KUFULI NA VIFAA VYA MATUMIZ YA MAJUMBAN.. TAJIRI YUPO NA BIASHARA INAFANYIKA DAR ES SALAAM KWA UHAKIKA NA UFANISI WA HALI YA JUU, MATAPELI TAFADHALINI MKAE MBALI NA HILI HATUNA MUDA WA KUPOTEZA CONTACT 0716637717, 0785510604 AU 0769767771
 
Back
Top Bottom