encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 517
- 405
Habari wanajamvi!
Kuna mtu ameniomba nishirikiane naye kwenye biashara ya uwakala/udalali wa tunu za kale na kwa maelezo aliyonipa ni kwamba tunu hizo za kale ni mali zilizoachwa na wakoloni kama Wajerumani na Waingereza walioitawala Tanganyika.
Kuna maswali machache napenda kufahamu zaidi kuhusu hii biashara kutoka kwa mtu anayeifanya au ana uzoefu wowote kuhusiana na biashara hii kwenye maeneo yafuatayo.
1. Uhalali wa biashara
2. Soko lake
3. Risk zitokanazo na biashara hii
Nawasilisha