Biashara ya taxi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya taxi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by TheChoji, Jan 2, 2012.

 1. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Wakuu herini ya mwaka mpya!
  Mimi nina kagari kadogo (starlet) nataka nikafanye taxi. Naomba wenye uzoefu na biashara hii mnipe uzoefu na mbinu za hii biashara. Niko moshi. Asanteni.
   
Loading...