Biashara ya spare parts Arusha

Biashara ya spare parts Arusha

ba nso

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
668
Reaction score
225
Kwa wenyeji wa Arusha naomba kujua ni maeneo gani naweza pata maduka ya spare hapo A town na je naweza pata spare kwa bei nzuri kuliko Dar? Ninategemea kwenda A town kikazi na ninunue baadhi ya spare za gari yangu. Asanteni.
 
kamaa unataka spare parts used maeneo ya december
( makao mapya) nba uhakika utapata unaoitaka kwasababu mitaa ile ndo wanaiita chinja chinja wenywe
ila kama unataka mpya,kuna duka lipo maeneo ya sabena linaitwa LANKEL, wanauza bei nafuu kwa kweli ama ukaingia DENSO opposite na stadium.
WARNING: December wana vifaa og na fake so watch out + kifaa kinaweza kuwa el 35 wakakuanzia 70 kwasababu wengi ma broker all tha best
 
Back
Top Bottom