Kuna kampuni moja inatoa huduma ya utumaji wa SMS za jumla. Kwa mfano sms zinazotumwa na benki tofauti kutoa taarifa kuhusu huduma zao hua zinatumwa na makampuni haya. Kampuni hizi zinauwezo wa kutuma SMS nyingi kwa wakati mmoja, sms zinakua na jina la benki au biashara au jina la mtu binafsi. Pia kila sms ina weza kutaja jina la kila mpokeaji wa sms.Hii kampuni inatoa nafasi kwa vijana kujiajiri kwa kununua SMS na kutumia mtandao wao kutuma hizi message za jumla.Kawaida sms moja inauzwa Tsh 30 kwa bei ya jumla. Wateja kwa mfano benki na biashara zinazotumia huduma hii zinazinunua kwa Tsh 41-48. Je, kuna vijana ambao wangependa kutumia nafasi hii kujiajiri?Tuma email au namba ya simu kwa maelezo zaidi.

Msiweke Email zenu kisoro katika Mitandao tukiwatumia SPAMS muanze kulalamika
Anywayz mm natania tu ila nimeona watu wakipresent email zao katika hii format online kushokap (at) yahoo(dot)com
Mimi nahitaji database ya namba za simu kama laki 1 hivi, nitapata? software ya kuzituma ninayo tayari nahitaji hizo namba tu, mwenye kuwa nazo tuongee.

Naomba ninukuu dodoso walilonitumia hao TaarifaSMS kama ifuatavyo,kama lugha ni issue ingia google translator;
[h=1]What is Mobile SMS information or Marketing?[/h]Mobile SMS information or Marketing is one of the most effective, reliable and cost effective ways to market or provide information to your clients and businesses. Because SMS is extremely personal, therefore the response ratio is much higher than other marketing channels. Is your business ready to communicate to this market through Mobile SMS Marketing?
TaarifaSMS will help you to integrate SMS marketing or information solutions into your business in order to maximize your next campaign. It can even help you develop comprehensive database of your consumers throughout Tanzania.
Mobile SMS marketing and broadcasting are changing the way we communicate in Tanzania. Text messaging is now a serious distribution channel that gives you the power to deliver your message directly into the hands of your audience, and create new revenue generating opportunities in the Tanzania.
Mobile SMS Marketing is an innovative method of promotion and advertising which uses technology of mobile and wireless communication to forward your company's messages to thousands of targeted customers.
Marketing with SMS helps to achieve your promotion goals because the technology associated with this application enables you to set up complex services for ongoing promotion drives. It allows you to get a higher income and provides a customer orientated service that leads to a loyal client base.
[h=1]Benefits of Mobile SMS Marketing:[/h] SMS Marketing Will Generate More New Clients.
More Business Will Be Generated From Existing Clients.
Gross Profit Margin Must Be Improved.
Extremely Cost Effective
Instant Response
High Response Ratio
No or little Waste
Immediate Delivery
Economical
Campaign on all networks
Professional Impact on customers
21st Century Marketing!
Mkuu, ukiwa na database basi unajibroadcast mwenyewe na unajuwa siku hizi sms bila kikomo, kwahiyo database ndiyo mhimu. Unajuwa wapi naweza kupata kwa bei ya kishikaji?
Dah! Hiyo kitu nimeshacheza nayo sana, nimechezea watu akili sana kwahiyo kitu, natuma meseji kwa mtu yeyote kwa jina lolote, nilishawahi kuiapply chuoni wanafunzi wakawahi saa 12 wakijua uongozi wa chuo umewaita, kumbe ni utundu tu wa kuzaliwa, hautumii mashine wala software bali computer skills ndizo zinazohitajika.
Dah! Hiyo kitu nimeshacheza nayo sana, nimechezea watu akili sana kwahiyo kitu, natuma meseji kwa mtu yeyote kwa jina lolote, nilishawahi kuiapply chuoni wanafunzi wakawahi saa 12 wakijua uongozi wa chuo umewaita, kumbe ni utundu tu wa kuzaliwa, hautumii mashine wala software bali computer skills ndizo zinazohitajika.
Mimi nahitaji database ya namba za simu kama laki 1 hivi, nitapata? software ya kuzituma ninayo tayari nahitaji hizo namba tu, mwenye kuwa nazo tuongee.
Kuna kampuni moja inatoa huduma ya utumaji wa SMS za jumla. Kwa mfano sms zinazotumwa na benki tofauti kutoa taarifa kuhusu huduma zao hua zinatumwa na makampuni haya. Kampuni hizi zinauwezo wa kutuma SMS nyingi kwa wakati mmoja, sms zinakua na jina la benki au biashara au jina la mtu binafsi. Pia kila sms ina weza kutaja jina la kila mpokeaji wa sms.Hii kampuni inatoa nafasi kwa vijana kujiajiri kwa kununua SMS na kutumia mtandao wao kutuma hizi message za jumla.Kawaida sms moja inauzwa Tsh 30 kwa bei ya jumla. Wateja kwa mfano benki na biashara zinazotumia huduma hii zinazinunua kwa Tsh 41-48. Je, kuna vijana ambao wangependa kutumia nafasi hii kujiajiri?Tuma email au namba ya simu kwa maelezo zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.