Biashara ya simu

Biashara ya simu

dullydon

Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
81
Reaction score
31
Habarini wana jf.
Pata fursa ya kufanya biashara ya simu. Kama ulikuwa na malengo ya kufanya biashara ya kuuza simu na kufanya biashara hiyo ndio kuwa lengo lako lakini ukakosa connection ya kupata simu kutoka ughaibuni basi hapa naweza kukusaidia. Biashara kama hizi sio siri zinahitaji mitaji iliyo imara kidogo kwasababu kuna fees za malipo ya kodi, transport, na mengineyo.

Kama unahisi una mtaji mdogo, utaweza kutimiza ndoto zako.
1. Utapata simu unazohitaji kuuza zikiwa mpya
2. Kodi zote hutolipa tayari zitakuwa zishalipiwa

Usisubiri mpaka sijui uwe na mamilioni mangapi ndio uanze biashara la! Hata ukitaka simu mbili anza kufanya biashara. Nitakusaidia kuzipata hizi simu ndani ya wiki moja. Bidhaa zinakuwa mpya kabisa kwenye box. Kama una dhamira na unataka kujua kwa undani zaidi tuwasiliane

0713 088747.
Hakuna ubabaishaji na wengi wanafanya, unasubiri nini?
 
Back
Top Bottom