Biashara ya simu used

Biashara ya simu used

mt.j

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
284
Reaction score
280
Nina mpango wa kufanya biashara hio, naomba kufahamu haya
1.Kuna kulipia kodi?
2.Na inaruhusiwa
3.Mtaji ni shilingi ngapi?
NALENGA SMARTPHONE
 
Kodi lazima ilipiwe ila kama upo interested nawezakukuletea simu kwa makubaliano kwakuwa hakuna haja ya kusafiri nawezakukutumia,inategemea unataka kuanza na ngapi na aina gani za simu lakini nafikiri ukiwa na 3ml inatosha sana kwa mzigo wa kwanza,Tuzungumze zaidi
 
Back
Top Bottom