Cleverman324
JF-Expert Member
- Nov 17, 2018
- 413
- 668
Ndio haswaNdio kaswaa
Ahsante kuna. Mdau amependekeza sinzaHongera sana,mi nadhan endelea na mtindi ikiwezekana weka na fresh na bites kama umepata banda.All the best.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Thanks.kati ya tabata au sinza wapi pazuriYaan ww ni hustler had raha ..ww endelea na mtindi...hakikisha unakua unaladha na msafi😋!n uwe wa baridi!
All the best!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alkasus mujarabu..Uza Alkasus mkuu kwa sasa ina wanywaji wengi sana.