Natafuta mtu mwaminifu wa kufanya nae biashara ya samaki kutoka sehemu yoyote ile ya tanzania japo nasikia kwa Dar ndio kuna soko zuri la samaki. Mi nipo mwanza/simiyu, ivyo mtu yeyote aliyetayari anipm kwa maelezo na mawasiliano zaidi. Kwa mtu atakayekuwa tayari nitamnunulia samaki husika na kumletea sehemu husika.