Biashara ya sabuni za kufulia (za mche)

mvujajasho

Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
33
Reaction score
23
Wanajamii, wasalaam
Nina ndoto ya kufungua biashara ya sabuni za kufulia kwa maana ya kufungua kiwanda. Kwenye tafiti nilizofanya kwa maana ya mashine/ mtambo toka chini itaigharimu kama milioni mia moja kuanza biashara hii. Naomba kama kuna aliyepo kwenye biashara hîi tayari anisaidie a,b,c zake hasa kuhusu uwekezaji na faida
Natanguliza shukrani
 
Anza kutengeneza locally, faida ni almost 100% ya mtaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…