Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 835 Aug 9, 2023 #1 Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha?
monopoly inc JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 5,251 Reaction score 11,446 Aug 10, 2023 #2 Chuck j said: Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha? Click to expand... Kuna sehemu watu hawali chakula?
Chuck j said: Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha? Click to expand... Kuna sehemu watu hawali chakula?
L Little Dreamer Senior Member Joined Sep 12, 2017 Posts 184 Reaction score 166 Aug 10, 2023 #3 monopoly inc said: Kuna sehemu watu hawali chakula? Click to expand... 😂😂😂Hakuna sehemu watu wasipokula kweli, kikubwa ahakikisge huduma zake ziko vizuri na usafi
monopoly inc said: Kuna sehemu watu hawali chakula? Click to expand... 😂😂😂Hakuna sehemu watu wasipokula kweli, kikubwa ahakikisge huduma zake ziko vizuri na usafi
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,875 Reaction score 35,298 Aug 10, 2023 #4 Nenda Kahama kafanye utafiti ujiridhishe mwenyewe aina ya huduma unayotaka kutoa na mahitaji ya wateja Haitoshi kupitia maoni yetu hapa yakakusaidia Chuck j said: Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha? Click to expand...
Nenda Kahama kafanye utafiti ujiridhishe mwenyewe aina ya huduma unayotaka kutoa na mahitaji ya wateja Haitoshi kupitia maoni yetu hapa yakakusaidia Chuck j said: Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha? Click to expand...
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,618 Reaction score 11,380 Aug 10, 2023 #5 Uhakika wateja wapo
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,618 Reaction score 11,380 Aug 10, 2023 #6 Uhakika wateja wapo
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,798 Reaction score 6,093 Aug 10, 2023 #7 Kahama siku hizi hamna Dili komaa dar ndo kuna mzunguko wa biashara au uje uuboreshe uwe wa kisasa
Fabolous JF-Expert Member Joined Sep 23, 2010 Posts 3,698 Reaction score 5,424 Aug 10, 2023 #8 Kahama ya siku hizi sio kama zamani.
Guy Isaac Senior Member Joined Aug 10, 2019 Posts 126 Reaction score 60 Aug 10, 2023 #9 Chuck j said: Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha? Click to expand... Hauko serious man,, yaan uko dar unataka kujua biashara ya mgahawa kahama iko vipi!? Nenda kafanya research physically mzee wangu usisikilize maneno ya watu
Chuck j said: Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha? Click to expand... Hauko serious man,, yaan uko dar unataka kujua biashara ya mgahawa kahama iko vipi!? Nenda kafanya research physically mzee wangu usisikilize maneno ya watu
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 2,257 Reaction score 4,860 Aug 11, 2023 #10 Kwa biashara ya chakula mjii huu ipo ila upike chakula cha kiwango tofauti kulingana na aina za watu
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 2,257 Reaction score 4,860 Aug 11, 2023 #11 Nzuri zaidi nenda kaweke kambi mgodini Mwime
3 365 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 1,377 Reaction score 1,460 Aug 11, 2023 #12 Hii biashara ya mgahawa nadhani uifanyie hapa hapa dar, kuna maeneo kama GOBA ina wateja ila haina migahawa kabisaa
Hii biashara ya mgahawa nadhani uifanyie hapa hapa dar, kuna maeneo kama GOBA ina wateja ila haina migahawa kabisaa