thanks a lot
Acheni ubinafsi.Check inbox
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Check inbox
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
why Mac computer....je hzi zakawaida hazina kiwango? or hyo ni choise yko tu?sijajua kama biashara italipa. but haraka haraka naona ni muhimu kuwa na Mac computer, printer, good camera, background.
in addition to develop product line and marketing strategy.
kwa printer EPSON ni nzuri na equipment nyingi hapa tz ni ghali au feki, its better ukaagiza sanasana Nairobi bei ni nafuu, kuna makampuni ambayo unaweza oda zikakufikia hapo ulipo, sorry nimeyasahau but ntakupa info nikiyaulizia,.vilevile ukipata watu waaminifu inalipa, na usimamizi mzuri mfano creative studios hapa arusha imefulia kidogo baada ya wafanyakazi kutokua waaminifu na kupiga kazi zao binafsi huko ndani ya ofisi, hii ni kwa mujibu wa mdau wa hapo ila ukipata usimamizi mzuri italipa tu.
ameline unaweza kukumbuka majina ambayo uliahidi kuulizia?
ameline, vipi umeshatoka Nairobi? update ya ombi la juu la contacts?naomba msamaha kwanza kwa kutokutimiza ahadi, ni kubanwa tu na majukumu,.naomba nikuhakikishie kuwa nitakujibu kwakua nipo hapa nairobi ngoja mambo yatulie kidogo then nipitepite kidogo then ntakupa jibu, ni PM plz
Kaka inalipa sana,nafikiri kama upo Dar ungetembelea pale Mayfair au Mlimani City au Mafuta House(Benjamin Mkapa tower)opp Posta mpya kuna jamaa ana studio zake katika maeneo hayo na anatumia Canon 30 D kama sikosei pia anatumia Mac computers 21'' jamaa anapiga hela ndefu ,utakuta wakati wote watu wanapanga foleni kupiga picha na hata watu wanao oa /olea huenda sehemu hizo kwenda kujifotoa na hizo ni kwa studio kubwa lakini hata ndogo watu hupata pesa maadamu pia upate sehemu ambazo zinakuwa na mkusanyiko wa watu wengi,na pia ufanye kazi kama real pro !kwa printer EPSON ni nzuri na equipment nyingi hapa tz ni ghali au feki, its better ukaagiza sanasana Nairobi bei ni nafuu, kuna makampuni ambayo unaweza oda zikakufikia hapo ulipo, sorry nimeyasahau but ntakupa info nikiyaulizia,.vilevile ukipata watu waaminifu inalipa, na usimamizi mzuri mfano creative studios hapa arusha imefulia kidogo baada ya wafanyakazi kutokua waaminifu na kupiga kazi zao binafsi huko ndani ya ofisi, hii ni kwa mujibu wa mdau wa hapo ila ukipata usimamizi mzuri italipa tu.
ameline, vipi umeshatoka Nairobi? update ya ombi la juu la contacts?
hivi ni kweli nairobi hivyo vitu ni nafuu?
thanks a lot