Biashara ya ngono Mwanza yakithiri

Ninachoshangaa wateja wao mnakuja kulalamikia humu,mkikutana nao hata hamsemi kitu nyie nikununua tu commodity

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu huyu n mhusika maana nawajua hawa,wanabandua watt nafs zinawasuta wanakuja humu
 

Kuna mkazi mmoja hapo kwa jina la Eiyer lbd anafahamu zaidi kuhusu hizi biashara! Lbd atujuze kidogo kulikoni hapo mwanza??
 
Last edited by a moderator:
wanaume wangeacha kunua machangu wangekosa soko na wangetafuta biashara nyingine, mbaba wa miaka 40 haoni aibu kumvulia mtoto wa miaka 13 ambaye ni sawa na mwanae huko sasa ni kujidharilisha
 
the greater the demand the higher the supply. to every force there is equal and opposte reaction. A person will repeat aa certain action if the rewarded him or her.
 
Wanawake karibia wote(~95%)wanajiuza au walishawahi kuuza.so lazima akajipange barabarani usiku
.wengine wanaajira Zao mfano mamalishe barmaid w/biashara n.k.Na wanaume karibia wote (~99%)walishanunua
 



Nchi ikitawaliwa na hisia za bongo fleva kila mtu anataka kuwa msanii, hii ndiyo wanaita fursa kwa vijana. Inasikitisha sana.
 
Wanawake karibia wote(~95%)wanajiuza au walishawahi kuuza.so lazima akajipange barabarani usiku
.wengine wanaajira Zao mfano mamalishe barmaid w/biashara n.k.Na wanaume karibia wote (~99%)walishanunua

hzo takwimu n za kwel?
 
the greater the demand the higher the supply. to every force there is equal and opposte reaction. A person will repeat aa certain action if the rewarded him or her.

hlo nalo neno "every girl will continue to move in straight line(good behaviour) provided that no external forces(boys) act on her"
 
sasa 2tadhibi vp?



Kuiua CCM ili isichukue nchi kunako 2015 kwa kutowapigia kura ili kikija chama kingine kiweke mazingira mazuri ya ajira kwa vijana kwani CCM imeshindwa kuendesha nchi. CCM wanawatumia Clouds media kujitangaza kwa kupitia ujinga wao wa fursa kwa vijana huku nchi inaibiwa.
 
ila cyprian kuna mabnt wengne unakuta kwao wanakila k2,bt she stlls sells her body


Ukiona hivyo basi juwa kuwa anahusudu msuguano kwani hakuna raha duniani zaidi ya kusuguliwa ama kusugua.
 

better 4 u
 
Ukahaba ni wa tangu enzi na enzi. Pawekwe nyumba na mtaa maalum wa dhambi, serekali iwatoze tu kodi, iwape pia huduma stahiki. Akionekana mtoto huko ndiyo adhibitiwe, tutapiga kelele huko vyumbani hao mnaosema ni watoto wanawabaka babu zao ili wapewe hiyo buku 5.
Elimu kwa jamii pia iongezwe kama ipo, mi sijaiona wafunzeni hao majibaba kuwa kumvulia nguo mjukuu ni kumlaani huenda ikasaidia.
 

Wanaume mmewapa mimba mama zao, mukawatelekeza sasa wanatafuta riziki, Mnashangaa, na bado mnataka watoto wao. WONDERS NEVER ENDS.
 

thankx kwa kumwaga ukwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…