M Mpande Jr New Member Joined Jul 22, 2026 Posts 2 Reaction score 0 Aug 21, 2026 #21 shilaa said: Huku nilipo wanalimaga mara 2 kuna skimu ukiwekeza 5k kama bei imekuwa good unaweza pata faida lak 7 had 1m Click to expand... Wapi huko mkuu?
shilaa said: Huku nilipo wanalimaga mara 2 kuna skimu ukiwekeza 5k kama bei imekuwa good unaweza pata faida lak 7 had 1m Click to expand... Wapi huko mkuu?
shila 68 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2026 Posts 525 Reaction score 1,063 Aug 21, 2026 #22 Mnachihanguuu said: Wapi huko Click to expand... morogoro
ubongokid JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 2,356 Reaction score 4,626 Aug 21, 2026 #23 shilaa said: Huku nilipo wanalimaga mara 2 kuna skimu ukiwekeza 5k kama bei imekuwa good unaweza pata faida lak 7 had 1m Click to expand... Taja sehemu kabisa utakuwa umemsaidia asije akaenda Mlimba
shilaa said: Huku nilipo wanalimaga mara 2 kuna skimu ukiwekeza 5k kama bei imekuwa good unaweza pata faida lak 7 had 1m Click to expand... Taja sehemu kabisa utakuwa umemsaidia asije akaenda Mlimba
M Mpande Jr New Member Joined Jul 22, 2026 Posts 2 Reaction score 0 Aug 21, 2026 #24 shilaa said: morogoro Click to expand... Ok morogoro sehemu gani mkuu na je sahizi wakulima wapo kwenye hatua gani ya kilimo?
shilaa said: morogoro Click to expand... Ok morogoro sehemu gani mkuu na je sahizi wakulima wapo kwenye hatua gani ya kilimo?
shila 68 JF-Expert Member Joined Jul 11, 2026 Posts 525 Reaction score 1,063 Aug 21, 2026 #25 Mpande Jr said: Ok morogoro sehemu gani mkuu na je sahizi wakulima wapo kwenye hatua gani ya kilimo? Click to expand... saivi ni kupanda mpak mwezi wa 9 mwanzoni watakua wamamalzia
Mpande Jr said: Ok morogoro sehemu gani mkuu na je sahizi wakulima wapo kwenye hatua gani ya kilimo? Click to expand... saivi ni kupanda mpak mwezi wa 9 mwanzoni watakua wamamalzia