Tunauza Miche bora na safi ya matunda

Tunauza Miche bora na safi ya matunda

thomasminja

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Miche Bora na Safi ya Matunda
Unatafuta miche yenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya bustani yako?

Tunatoa miche bora na safi ya matunda ambayo huanza kuzaa ndani ya miaka 2 hadi 3, kutegemeana na aina ya tunda na utunzaji wake.

✅ Miche yenye ubora wa hali ya juu
✅ Ukuaji mzuri na afya bora
✅ Huanza kuzaa kwa muda mfupi

Karibu sana tuzungumze biashara ya kilimo.
Tupo tayari kukushauri na kukupatia miche inayokidhi mahitaji yako

Mawasiliano: Call & WhatsApp 0754 982 826

FB_IMG_1741366086400.jpg
FB_IMG_1741366983552.jpg
FB_IMG_1741244807671.jpg
 
Wapi mliko, taja mkoa na bei zake.
Si unajua JF ni anonymous lazima kuwa na uhakika isije kuwa trap!
 
Una miche ya "embe ngowe" inayozaa haraka?
Hizi zile embe kutoka mombasa
 
🌱 Miche Bora na Safi ya Matunda 🌱
Unatafuta miche yenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya bustani yako?

Tunatoa miche bora na safi ya matunda ambayo huanza kuzaa ndani ya miaka 2 hadi 3, kutegemeana na aina ya tunda na utunzaji wake.

✅ Miche yenye ubora wa hali ya juu
✅ Ukuaji mzuri na afya bora
✅ Huanza kuzaa kwa muda mfupi

Karibu sana tuzungumze biashara ya kilimo.
Tupo tayari kukushauri na kukupatia miche inayokidhi mahitaji yako. 🌿🍊🥭

Mawasiliano: Call & WhatsApp 0754 982 826View attachment 3627731View attachment 3627732View attachment 3627733
Umeweka tangazo as if kila mtu anafahamu unakopatikana. Au unataka wateja wakupigie simu kwanza wakuulize hiyo miche inapatikana Mkoa/eneo gani ndani ya hii mchi?
 
Umeweka tangazo as if kila mtu anafahamu unakopatikana. Au unataka wateja wakupigie simu kwanza wakuulize hiyo miche inapatikana Mkoa/eneo gani ndani ya hii mchi?
Msije kuingia mkenge to identify yourselves. Chawa wako humu kibao wanatafuta watu. Kuweni macho sana na matangazo ya aina hii
 
Msije kuingia mkenge to identify yourselves. Chawa wako humu kibao wanatafuta watu. Kuweni macho sana na matangazo ya aina hii
Mjomba usiwavimbishe kichwa. Waweke namba tuwapigie. Wakileta upuuzi wao tutapambana kwenye eneo la tukio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom