Biashara ya Miamala M-PESA YAS. N.K bado zinalipa

G TARIMO

Member
Joined
Jul 23, 2025
Posts
30
Reaction score
22
Habari za wakati huu wakuu,
Naitwa Godfrey, nina mpango wa kuanzisha biashara ya M-Pesa nikiwa na mtaji wa takriban milioni 3. Nipo Dar es Salaam (eneo la Tegeta na Mwenge) na nimekuwa nikifuatilia kwa muda, ila bado nina maswali kadhaa:

1. Je, biashara hii bado inalipa kweli ?

2. Kuna changamoto zipi kubwa ninazopaswa kujiandaa nazo?

3. Na kama mtu ana mtaji kama wangu, kuna kitu gani bora zaidi ya M-Pesa unashauri nifanye?

Naomba ushauri kutoka kwa waliowahi au wanaofanya biashara hii kwa sasa.
Ushauri wenu utanisaidia sana kabla sijarisk hela yangu yote. Nimeipata kwa shida sana hii na kwa mda mrefu

Asanteni sana 🙏
 
Ukipata sehemu ambayo kuna mzunguko wa pesa na miamala inafanyika mingi utapata hela nzuri tu
 
Biashara hiyo inategemea na mzunguko mwaka 2021 nilikuwa na funga mpaka 800k kwa lakini ya voda pekee ilikuja kuyumba nikaacha kutokana na hamahama ya mji
 
Biashara inawindwa na matapeli hiyo! Sijawahi kuona. Tena ukimuweka mhudumu asiye na uzoefu wa kutosha, ni dakika 0 tu unapiga kelele barabarani kama mtu aliye changanyikiwa.
Kuna tajiri mmoja siku nilikuta anampiga makofi mfanyakazi wake wa kike....

Jamaa alikua na cashpoint sijui Hawa matapeli wanatumia njia gani wakaja kubadilisha alivyo save jina la bosi wake, dada akaanza kuombwa miamala kutoka Kwa bosi Kuna namba akawa anamuelekeza atume pesa huko Kuna magari yake yamekwama kuchukua mzigo....Kila baada ya muda anaambiwa atume pesa kwenye namba flani, miamala mizito mizito tu..... Mpaka float akaishiwa akawa anataka kwenda kujaza float ndo akakutana na mtu wanafahamiana na bosi wake, yule mtu anamuuliza mbona huku tena ofisini umemuacha nani? Ndo dada anamwambia bosi Leo msumbufu Kila saa anaomba pesa mpaka nimeishiwa float, jamaa ndo akamuambia subiri kwanza akampigia bosi wake, bosi kufika aisee anaangalia miamala alipiga ukunga nusu amuue mtoto wa watu.....

Boss anadai alishampiga marufuku kumtumia pesa hata awe na shida gani ni heri akachukue sehemu nyingine, lakini ndo hivo tena jamaa wakapita na zaidi ya 10M+
 
Kila biashara inalipa mkuu n ww tu ujuee jinsi yakukabiliana na changamoto zakee ,,,hata ukiwa Kwenye ajira Kwan changamoto ukutanagi nazoo 🤔 na c unazitatuaga na kazi inaendeleaaa😀

Ndivyo hvyo biashara ilivyo..usiwe muoga ila location nzuri na palipo na movemet ya watu n muhimu Kwa hyo biashara yakoo
 
Mi ni muumini sana kupiga simu. Ilivyoingia tu text ya kwanza ningepiga simu.
 
Nadhani hata Hawa matapeli wanabahatisha tu, unakuta wanafanya hivi hata sehemu 10 unakuta Moja au mbili tu ndo zinakubali kwingine wanashtukiwa....
 
Kuna tajiri mmoja siku nilikuta anampiga makofi mfanyakazi wake wa kike....

Jamaa alikua na cashpoint sijui Hawa matapeli wanatumia njia gani wakaja kubadilisha alivyo save jina la bosi wake, dada akaanza kuombwa miamala kutoka Kwa bosi Kuna namba akawa anamuelekeza atume pesa huko Kuna magari yake yamekwama kuchukua mzigo....Kila baada ya muda anaambiwa atume pesa kwenye namba flani, miamala mizito mizito tu..... Mpaka float akaishiwa akawa anataka kwenda kujaza float ndo akakutana na mtu wanafahamiana na bosi wake, yule mtu anamuuliza mbona huku tena ofisini umemuacha nani? Ndo dada anamwambia bosi Leo msumbufu Kila saa anaomba pesa mpaka nimeishiwa float, jamaa ndo akamuambia subiri kwanza akampigia bosi wake, bosi kufika aisee anaangalia miamala alipiga ukunga nusu amuue mtoto wa watu.....

Boss anadai alishampiga marufuku kumtumia pesa hata awe na shida gani ni heri akachukue sehemu nyingine, lakini ndo hivo tena jamaa wakapita na zaidi ya 10M+
Wafanyakazi wapumbavu sana mimi kitengo ambacho sikai mwenyewe siwezi weka pesa zangu nyingi kiasi hicho hawa watu ni wagumu Sana kuelewa unamkataza hiki ila anakuja kutapeliwa kilekile ulichomkataza
 
Wakala hatakiwi kumpa simu ya miamala mteja.

Na kama wakija wale nina hela kwenye laini anaomba simu iki atoe--- wakala anatakiwa kuwa na kitochi kibovu kibovu ambacho hakitumiki ndo anampa hicho
 
Kila biashara inalipa mkuu n ww tu ujuee jinsi yakukabiliana na changamoto zakee ,,,hata ukiwa Kwenye ajira Kwan changamoto ukutanagi nazoo 🤔 na c unazitatuaga na kazi inaendeleaaa😀

Ndivyo hvyo biashara ilivyo..usiwe muoga ila location nzuri na palipo na movemet ya watu n muhimu Kwa hyo biashara yakoo
Asante brother kwa ushauri 🙏🙏
 
Wafanyakazi wapumbavu sana mimi kitengo ambacho sikai mwenyewe siwezi weka pesa zangu nyingi kiasi hicho hawa watu ni wagumu Sana kuelewa unamkataza hiki ila anakuja kutapeliwa kilekile ulichomkataza
Namimi kwakua nina mishe zangu nilikua nimewaza niweke mfanyakazi nisije jichanganya na hela ilivyo ngumu saiv
 
Wakala hatakiwi kumpa simu ya miamala mteja.

Na kama wakija wale nina hela kwenye laini anaomba simu iki atoe--- wakala anatakiwa kuwa na kitochi kibovu kibovu ambacho hakitumiki ndo anampa hicho
Asante kwakunikumbusha hili 🙏
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Habari za wakati huu wakuu,
Naitwa Godfrey, nina mpango wa kuanzisha biashara ya M-Pesa nikiwa na mtaji wa takriban milioni 3. Nipo Dar es Salaam (eneo la Tegeta na Mwenge) na nimekuwa nikifuatilia kwa muda, ila bado nina maswali kadhaa:

1. Je, biashara hii bado inalipa kweli ?

2. Kuna changamoto zipi kubwa ninazopaswa kujiandaa nazo?

3. Na kama mtu ana mtaji kama wangu, kuna kitu gani bora zaidi ya M-Pesa unashauri nifanye?

Naomba ushauri kutoka kwa waliowahi au wanaofanya biashara hii kwa sasa.
Ushauri wenu utanisaidia sana kabla sijarisk hela yangu yote. Nimeipata kwa shida sana hii na kwa mda mrefu

Asanteni sana 🙏
Hakuna biashara isiyolipa , ukiona hailipi basi jua haukfuata misingi ya biashara wakati unaanzisha.

Nilivyofundishwa na mwalimu wangu wa biashara aliniambia biashara inahitaji vitu vikuu vitatu vinavyoenda kwa Pamoja.

1.Capital (Mtaji)
2.Knowledge(Maarifa)
3.Market(Soko).
 
Kuna tajiri mmoja siku nilikuta anampiga makofi mfanyakazi wake wa kike....

Jamaa alikua na cashpoint sijui Hawa matapeli wanatumia njia gani wakaja kubadilisha alivyo save jina la bosi wake, dada akaanza kuombwa miamala kutoka Kwa bosi Kuna namba akawa anamuelekeza atume pesa huko Kuna magari yake yamekwama kuchukua mzigo....Kila baada ya muda anaambiwa atume pesa kwenye namba flani, miamala mizito mizito tu..... Mpaka float akaishiwa akawa anataka kwenda kujaza float ndo akakutana na mtu wanafahamiana na bosi wake, yule mtu anamuuliza mbona huku tena ofisini umemuacha nani? Ndo dada anamwambia bosi Leo msumbufu Kila saa anaomba pesa mpaka nimeishiwa float, jamaa ndo akamuambia subiri kwanza akampigia bosi wake, bosi kufika aisee anaangalia miamala alipiga ukunga nusu amuue mtoto wa watu.....

Boss anadai alishampiga marufuku kumtumia pesa hata awe na shida gani ni heri akachukue sehemu nyingine, lakini ndo hivo tena jamaa wakapita na zaidi ya 10M+
Kwa hii hela yangu nilivyo,ipata kwa shida ndo nipigwe ivi naweza kuchanganyikiwa aisee 🙌🙌
 
Back
Top Bottom