Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 264
Hii biashara inalipa sana kwa hapa tz garama za ufugaji siyo kubwa kama wanyama wengine, mwezi uliopita nilitoka na mbwa wangu mdogo kijijini nimemuuza juzi 80,000/=
Nafikiria kuanza rasmi kufuga mbwa wa biashara, ingawa nina uzoefu kidogo nilifuga zamani nikiwa mdogo kijijini najua mbwa unazaa mara 2 kwa mwaka watoto kati ya 6-12,
Nikianza na mbwa 6 baada ya miaka mitatu naweza kuwa na mbwa zaidi ya 800,
Baada ya hapo kila mwaka unauza wastani wa mbwa 9,600* @50,000(bei ya jumla) =480,000,000/= (sawa na milion 40 kwa mwezi, garama za chakula haizi milion 5 kwa mwezi ,
Utajihakikishia net 35,000,0000 kila mwezi (kiwango cha chini)
Karibuni sana wale wajasiriamali hii inalipa kuliko kuku, ngombe, mbuzi, na ile haramu