Biashara ya mbegu za Chia

Biashara ya mbegu za Chia

mzalendo namba moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
807
Reaction score
1,634
Mambo wapendwa
Kama unahitaji mbegu za chia. tuwasiliane mapema.
Kilo ni 12000, kwa walio nje ya mwanza nitawatumia
 
Ungeandika kwa urefu zaidi. Chia ni nini,inatumika kufanya nini, faida zake ni nini. N.k we unafanya biashara afu unakua mvivu kuandika maelezo ya kutosha kutangaza biashara yako. Hata kuambatanisha picha umeshindwa
Ingawa mimi binafsi naijua chia nimeandika kwa faida yako. Biashara matangazo mkuu.
 
Back
Top Bottom