Biashara ya mazao

Biashara ya mazao

cleverr

Senior Member
Joined
Mar 3, 2020
Posts
141
Reaction score
140
Habari zenu wakuu poleni na kazi za hapa na pale,

Ninapenda kuwataarifu wafanya biashara wa mazao hasa wanunuzi na wahitaji wa mazao kama Soya beans (inapatikana Malawi), karanga( nyekundu na nyeupe), Kunde, Mbaazi na maharage (aina tofauti tofauti kama sugar beans, maharage ya njano, mekundu nk.) nk. Yanapatikana.

LOCATION NA UWEZO WA MZIGO
Tunapatikana Boda ya kasumulu kati ya Malawi na Tanzania, pia tunauza Kwanzia Tani 10 nakuendelea hata tani 5,00+ zinapatikana..

UAMINIFU NA UHAKIKA;
Mteja akihitaji anaweza kufika yeye mwenyewe physically au akatuma muwakilishi ili kujiaminisha zaidi,

USAFIRISHAJI;
Kuhusu usafirishaji sio shida sana Kwa sababu Kuna maroli yanatoka Malawi Empty kuelekea Dar es laam, Arusha nk(gharama za usafirishaji kutoka kasumulu mpaka destination ya mzigo ni za mteja)

BEI YA MIZIGO;
Inategemeana kati ya zao Moja na jingine pia nature ya msimu na upatikanaji wake.. kwahiyo kipindi kama hiki mwezi April-october...bei hua zinakua chini sana Kwa sababu mazao yanapatikana Kwa urahisi

VIBALI NA USHURU;
Hapa Kuna maajent wa makampuni ya usafirishaji ndio wanafanya hii kazi kutegemeana na nature ya mzigo kama ni ( Import, Export au Transit)

MAWASILIANO;

0765891704, isipopatikana basi tumia Whatsapp Kwa sababu sometimes hua tunaingia malawi ambako line za kitanzania hazipatikani.

Tazama picha zaidi hapa chini.

IMG_20230316_141822_388.jpg
IMG_20230315_161707_091.jpg
IMG_20230313_142208_936.jpg
IMG_20230313_131541_163.jpg
IMG_20230313_125447_501.jpg
IMG_20230311_100758_199.jpg
IMG_20230308_170723_408.jpg
IMG_20220908_090509_767.jpg
IMG_20220922_090407_383.jpg
 

Attachments

  • IMG_20230313_142208_936.jpg
    IMG_20230313_142208_936.jpg
    116.1 KB · Views: 23
mimi ninahitaji karanga nyekundu ila nene zile ,njoo inbox au 0769072293 (Whatsap tu) tuongee hata sasa hivi ,nakupa na sample.
 
Back
Top Bottom