Habarini ndugu wanaJF wajasiriamali;
Kuna sehemu nimeiona fursa ya biashara ya matunda na kiukweli nimeifanyia uchunguzi na kuona naweza kutokea hapo ningependa kufahamu yafuatayo kwa wazoefu wa biashara hii hasa katika mawazo;
1: Naweza kutumia frem (duka)kma sehm y kuuzia na inatakiwa iweje
2: Matunda kama nanasi tikiti, na tango huchukua mda gn kuharibika
3: Nahitajika kuwa na drooo kama zile za chips?
4: Katika utengenezaji wa saladi ya matunda na uuzaji wa matunda ni lazima niwe na kibali cha mamlaka ya chakula
5: Na kama kibali kinahitajika je huwa wanatoza shilingi ngapi kukipata
Nayaheshimu sana mawazo yenu