pelius laurent
Senior Member
- Oct 7, 2019
- 130
- 122
Wana JF pole na kazi,
Mimi naitwa Pelius nipo mwanza, ni kijana niliemaliza chuo na kukutana na changamoto ya ajira, moja kwa moja niende kwenye swali langu.
Je, nikiwa na mtaji wa 100,000Tsh au 50,000Tsh nikaanzisha biashara ya matunda, ni sehemu gani naweza kufanyia hii biashara kwa maeneo ya mwanza? Hasa maeneo ya (Sabasaba, Pasiansi, Kona ya bwiru, Ghana, Kirumba, Nyasaka ,Buzuruga, Mecco, National).
Naomba muongozo wakuu.